kipakaMwitu
Senior Member
- Feb 19, 2009
- 158
- 20
tarehe 24 Jalo alirudi ofcn na kulakiwa na nguchiro wenzake, nguchiro mkuu akaenda nae kwa Rais. Je, Waliongea nini? Kama cyo kuwadharau wananch na bunge lao?
End of Thinking Capacity(E.T.C).......nimeipenda hii, viongozi wetu ndio wamefikia hapo!sasa cjui tuseme tumefikia..E.T.C ( End of Thinking Capacity)...maana kila kukicha kituko kama c kihoja

wapendwa,

hii ni rubish!! luhanjo hana ubavu wa kumsimammisha wala kumrudisha kazini Jairo wala katibu mkuu wa wizara nyingine yoyote bila ridhaa ya rais. Wasitudanganye hao, walikuwa na mawasiliano mazuri tu. Wamepima upepo ndio wakaamua watoke hivyo.

TZ tuna kazi kubwa sana katika uongozi wetu

Tusiache kuliombea taifa letu
Waombezi wenyewe akina Getrude Lwakatare ambao ni wanachama wa CCM?Umenena.Taifa linahitaji waombezi
Nilishasema mkuu, we are in power vacuum na hii bongo yetu!Hapa tutaongea lugha nyiingi, lakini kiufupi rais hatunaye, hata akipakwa wanja vipi hana mvuto tena!
Kwa mujibu wa TBC taifa raisi Kikwete alipokea taarifa ya uchunguzi juu ya Jairo asubuhi ya tarehe 25 na baada ya kuisoma aliamuru Jairo asirudi kazini hadi yeye mwenyewe rais atakapoamua namna muafaka ya kufanya hivo.
Taarifa ya Ikulu inasisitiza kuwa rais hakushinikizwa na mtu yeyote kuamua Jairo asirudi kazini. Itakumbukwa kuwa Luhanjo alikutana na waandishi asubuhi ya tarehe 24 na kutangaza kumrudisha kazini.
Niishie hapo, tu maana nimepata kichefuchefu niliposikia habari hiyo. So ngoja nikatapike kwanza.

Inaelekea huyu Jason Bourne ameisaliti ikulu. Ina maana huyu Jason ndo nani hadi awe anakaa na rais kwenye vikao mhimu na kutoa siri zote hapa? Its real funny, hii ikulu sasa ni sarakasi tupu.Kwa maelezo toka IKULU ni kuwa kila mteule wa Rais ni rais pale alipo na hivyo anaweza kufanya maamuzi yoyote pale alipo bila kumshirikisha mwenye nchi (rais). Hii inachefua zaidi ... Ndo maana tuna mafisadi kama kina EL, RA, AC na wengine ambao ndo wanaoendesha nchi hii na jamaa akila biscuit tu pale ikulu. Iliwahi kudokezwa na king of kings ... walijadili sasa wanapotezea ...
By King of Kings
UPDATES: 25/8/2011
Ikulu ya cheza picha la kihindi! Jana baada ya mkuu wa kaya kurudi magogoni kilikalika kikao na bwana Luhanjo akatoa taarifa ya kikao chake na akina Jairo na ikajadiliwa hali ya mambo bungeni!
Moja ya nilichokitafsiri ni kuwa Ikulu na Bungu wanatofautiana sana juu ya Jairo!
Maamuzi ya kikao cha usiku wa jana ni kuwa kwakuwa mda wa Luhanjo kustaafu ulishafika na mpaka leo yupo kwa hisani ya mkuu wa kaya basi walizuge taifa kuonyesha umma kuwa ikulu imesikitishwa na maamuzi ya Luhanjo hivyo imemtimua kazi!
Wazo hilo alilito Luhanjo mwenyewe, japo kikwete alisita kidogo lakini Luhanjo alifafanua jinzi mbinu hii itakavyo badili upepo na hali ya mambo itakuwa shwari ndipo mkuu wa kaya akakubali wazo hilo!
Spika wa bunge aliwasiliana na mkuu wa kaya mida ya saa nne na dk kumi na akamueleza dhamira ya bunge kuomba ushauri:
1. Nani awaweke katika kamati
2. Nini wakifanye hao wanakamati
Mkuu wa kaya akaomba kuwa ngoja atulize kichwa kwanza atatoa dokezo!!
Kikubwa msitegemee jipya kutoka ktk kamati hiyo kwakuwa inateuliwa na ikulu!Last edited by Jason bourne; Today at 08:15 AM.