Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
mimi naamini pangalikuwa na kasida au dufu. baadhi ya watz wangalikuja juu. lkn kwa kuwa limewagusa wao ndio maana wanaagalia katiba mpya tu. hongera jk , madudu kama haya yasiendeleeMimi nafikiri kama kweli wimbo huo una maudhui ya kidini ni kwa sababu ya kuruhusu kwaya za dini kuingia katika mchakato wa kutafuta wimbo bora wa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika mashariki, mojawapo ya kwaya hizo ni kwaya ya Uinjilisiti ya kanisa la Kiinjili la Lutheran (KKKT) usharika wa kijitonyama, Dar es salaam.
Hili sio kosa la wakristo wote bali la kamati maalum ya kuandaa wimbo huo ambayo haikuzingatia mapokea ya makundi mengine yenye imani tofauti. Rais kikwete kama msimamizi wa watanzania wote ana timu yake ya kumshauri pengine waliliona jambo hilo na kulitolea mapendekezo/ angalizo.