Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

Mimi nafikiri kama kweli wimbo huo una maudhui ya kidini ni kwa sababu ya kuruhusu kwaya za dini kuingia katika mchakato wa kutafuta wimbo bora wa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika mashariki, mojawapo ya kwaya hizo ni kwaya ya Uinjilisiti ya kanisa la Kiinjili la Lutheran (KKKT) usharika wa kijitonyama, Dar es salaam.

Hili sio kosa la wakristo wote bali la kamati maalum ya kuandaa wimbo huo ambayo haikuzingatia mapokea ya makundi mengine yenye imani tofauti. Rais kikwete kama msimamizi wa watanzania wote ana timu yake ya kumshauri pengine waliliona jambo hilo na kulitolea mapendekezo/ angalizo.
mimi naamini pangalikuwa na kasida au dufu. baadhi ya watz wangalikuja juu. lkn kwa kuwa limewagusa wao ndio maana wanaagalia katiba mpya tu. hongera jk , madudu kama haya yasiendelee
 
Kikwete ni disciple wa Mwinyi. Alipochaguliwa 2005 alisema mwenyewe live pale Kizota mzee wangu umenifikisha hapa siwezi kukusahau!!!

ok. lkn mbona anapukuja rais muislam hamuishi visingizio? lkn akija mkiristo huwa mna kimya? sasa hapa watz ndipo wanapohoji umakini wenu wa kuipenda tz
 
Tanzania's Jakaya Kikwete refused the proposed East African Community anthem saying the song was "too christian".

While other EAC heads of state had no qualms on the tune, Museveni had also refused the song on the grounds that it was "too soft".He said he was a revolutionary and that the regional anthem should take cognisance of the wave of "democratic revolution" sweeping Africa, therefore the beat must be "powerful".

Source: The East African, December 27th 2010
ni poa tu, JK ana imani thabiti katika mungu wake, na hili basi ni jambo la kujivunia kwetu wa tz maana imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo ....., hivyo kwa imani yake hiyo hakika Mwenyezi MUNGU atakamilisha matarajio yake na wa TZ kwa ujumla , Kasi zaidi, nguvu zaidi na ari zaidi katika kuleta maendeleo.
 
Ndo maana neno udini halimtoki kinywani mwake
tanzania's jakaya kikwete refused the proposed east african community anthem saying the song was "too christian".

While other eac heads of state had no qualms on the tune, museveni had also refused the song on the grounds that it was "too soft".he said he was a revolutionary and that the regional anthem should take cognisance of the wave of "democratic revolution" sweeping africa, therefore the beat must be "powerful".

Source: The east african, december 27th 2010
 
Hivi mbona katika jamii forum watu wengi mnawasakama sana Kikwete na Mwinyi tu,katika kila kitu,mbona hoja mnazoleta hazina hata miguu,kuna ushaidi wa hili?au mambo mnayomsingizia huyu jamaa?.mbona mjomba wenu alipokua anajipa mali za umma mlikua hampigi kelele au mbona hakuna hata hoja moja ya kudai jamaa arudishe hela na viwanda alivyojiuzia au fafa la Rada alilonunua mbali na bunge la uingeleza kupinga.kelele zinakuwepo kila raisi anapokua muislamu tu,au mbona viinzi vya mwanakijiji na data nyweti za ndani ya gov zinakua hazipatikani wakati wa Mkapa?.hakuna kitu kibaya sana kama kutoa data za uongo au za kizushi,kuna watu humu ndani wao wanaona kila kitu ni udini tu.Tanzania tatizo lake si kikwete au Mwinyi,Tatizo la bongo ni umasikini wa kutupwa ambao umeletwa na na kuendelezwa na viongozi wabovu bila kujali dini zao,mfano wakati wa Mwalimu (My God bless him) watanzania walikua wanakufa na njaa,tulikua tunapanga foleni masaa 8 au siku nzima kungojea kilo moja ya unga,au mchele,watu tulilazimiswa kuamia katika vijiji vya ujamaa matokeo watu wengi walikufa,ulikua ukisema tu kitu kumpinga mwalimu ndani na watu wengi walipotea kwa kuchukuliwa kiaina,tasisi na mashilika ya umma yalijaa ukabila mtupu,akaja mzee ruska akafanya alichofanya kama raisi na kumpa kijiti mkapa na kufanya alichoweza na sasa ni zamu ya kikwete .kwa mtazamo wangu bila unazi wala nini jamaa wote hawa ni wabovu .ni muhimu kuwa na data za kikweli na si ushabiki .
 
wanachuki na waislam hao usishangae sana. akija mkiristo mwenzao kimya
 
This reminds me of an old joke... "Three scientists were in a meeting, one from xina, one from Engxan and a Tanganzan. The xina one goes first and say “You see our scientific research is well developed here was born a kid without legs, we operate him add some wood and now he is world champion in 110 hurdles” after a while a Engxan guy also had something to say “We had a boy born without arms, we did our things and now he is world boxing champion” lastly was for a Tanganzan ‘You see in Tanganzan was born a boy without head we took a pumpkin fix his head, he survived…. And now he is the president of Tanganzan”……..
 
tutaondoa kidogo kidogo, alioleta nyerere hatuyataki

Mbiona umekosea sana mkubwa. Hili dua sio la wakati wa Nyerere. Ni la juzi kati tu wakati kaingia Ustaadh Jakaya

Ila Kazi mnayo japo mmechelewa kuzinduka

Wnzenu wanaongelea kuunganisha hospital zao kwenye computarized system nyie mnawaza huruma za nyimbo na masjid. Poleni
 
umekosea. wezenu wanapopora mali za umma na kuzila kwa kuzifuja mapaka leo watu wanaulizana umaskini upo wapi? nyinyi mnazihurumia. poleni waislam
 
umekosea. wezenu wanapopora mali za umma na kuzila kwa kuzifuja mapaka leo watu wanaulizana umaskini upo wapi? nyinyi mnazihurumia. poleni waislam

Kumbe una akili. Sio mbaya, karibu kumalizia vilivyosalia, si unajua zimwi likujualo?? lazima likusazie
 
Wewe rafiki hizo nyimbo ni za kenya, Tanzania na Uganda, respectively. Sasa wewe kwa nini unaita wimbo wa EAC?

Heee!! umenuishtua mkubwa, mbona mimi na-play kwangu na ni East Africa Community Anthem??

Hebu sikiliza vizuri mbona link yangu inaupiga vizuri tu

Au unaenda kwenye link tofauti?
 
Mbiona umekosea sana mkubwa. Hili dua sio la wakati wa Nyerere. Ni la juzi kati tu wakati kaingia Ustaadh Jakaya

Ila Kazi mnayo japo mmechelewa kuzinduka

Wnzenu wanaongelea kuunganisha hospital zao kwenye computarized system nyie mnawaza huruma za nyimbo na masjid. Poleni
poleni waislam kwa kujifanya hamtaki dhulma, tuachieni sisi tuzile
 
Naendelea kusistiza tena, mmechelewa kuamka.

Hata hivyo kuchelewa kuamka sio mbaya kama kutokuamka.
 
Back
Top Bottom