Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

Hivi maneno yenyewe ndio haya?
Tupendane Sote

TUPENDANE SOTE

1. Ee Mungu baraka twaziomba,
Utuongoze utupe hekima,
Tuwezeshe tuishi kwa amani,
Kwani sote tu jamii moja.

2. Mila zetu na desturi zetu,
Ziwe msingi wa umoja wetu,
Tuzilinde pia tuzihifadhi,
Kwani ni kitambulisho chetu.

3. Haya shime sote tuwajibike,
Na tuuenzi muungano wetu,
Tujitoe kwa hali na mali,
Tuijenge Jumuiya yetu.

KIITIKIO

Tupendane sote
Tudumishe amani
Umoja wetu ndiyo nguzo yetu
Tuulinde, tuuimarishe
LET US LOVE ONE ANOTHER

Oh God we ask for your blessing,
Guide us and give us wisdom,
Enable us to live in peace,
For we are all one family.

Our customs and traditions
should be the basis of our unity,
Let us protect and preserve them,
For they are our identity.

So let us all be committed,
And cherish our Unity,
Let us morally and materially commit ourselves,
To build our Community.

CHORUS

Let us love one another
And maintain peace
Our unity is our strength
Let us protect and uphold it

Source: Tupendane Sote

Ebo!!!
Huu wimbo una kasoro gani mpaka aukatae? Au alitaka huu wimbo umtaje Allah, the Pagan Moon GOD!!!
More that 65% ya wananchi wa East Africa ni Wakristo, Kwa hiyo mtu yoyote asijidanganye.
 
Kila tunapokuwa na Rais muIslam nchi uwa katika hali ya mashaka sana kiuchumi-maisha ya watu huwa magumu sana na kisiasa-utawala uyumba sana I just don't get it,Kikwete hii motion ya udini anayoingia nayo haiiletei tija nchi zaidi ni kudidimiza changamoto na mitazamo chanya ya watu katika kuboresha maisha ili nchi na watu wake wapige hatua kimaendeleo...sasa matokeo yake leo kikwete amegeuza mitazamo yetu,mawazo yetu na akili zetu kushughurika na Hoja yake ya kijinga ya Udini
Unasema ukweli mzee maana hata wakati ule wa hali ngumu ya maisha miaka y 80 nchi ilipofilisika kabisa ilikuwa ni wakati Nyerere alipokuwa amesilimu.Uhaba mkubwa wa vitu hata vya lazima,mafuta ya taa hakuna,chumvi hakuna,sukari hakuna,nguo hakuna hata ungepatikana na shati la mtumba we ni mlanguzi.Nyerere alilazimika kusalim amri na kuachia nchi sio kwamba alipenda bali nchi ilimshinda.Sasa ona alipoingia Mwinyi,kila kitu kikapatikana ikawa kama watu walikuwa usingizini sasa wameamka,ndo watu tukaweza hata kuangalia tv,watu wakawa na pesa,waliokuwepo wanajua.Nyerere akaanza kupiga kelele ooh serikali haikusanyi kodi,akasahau kuwa wakti anaachia nchi hata hizo kodi zingekusanywa wapi wakati watu wamefilisika.Mwinyi akaweka pesa mwenye mifuko ya watu ili serikali ikianza kukusanya kodi ikusanye zilizopo.We unadhani watu tumesahau,wadnagnye wajukuu zako.
 
I'm trying to contemplate the angles from which the two presidents abhored the song, while Museveni was sensitive on the musical expression & sensibilities of the song Kikwete had to pull the religious card again! It would have been more meaningful in my opinion, for him to suggest a more traditional or african feel to the song (i know what i'm talking about, afropianist, ring a bell?)rather than for him to speculate religiousity all the time, which makes me warry that he might be exporting his half-coocked product &philosophy of religious exclusion to the East African region!

Brother,

Perhaps that is his religious true colour. A colour of inner religious extreemism! A colour which is now unconsciously but internationally getting displayed by our highest stateman.

I would be very much proud of him should his critique be on the meaning, unity, togetherness, and aspirations embodied in the verses of the anthem.

If that story is true about our man, then am sorry for him
 
Hivi wataalamu wa tiba ya akili wako wapi jamani?mkulu wetu ameshakuwa teja wa hii kitu udini.Nahisi hawezi kutafakari jambo lolote bila kuhusisha udini,msaidieni jamani tunampoteza ndugu yetu.
Si ndio Sera yetu hiyo? Hatutaki udini? JK anawafuata wananchi wake.
 
Brother,

Perhaps that is his religious true colour. A colour of inner religious extreemism! A colour which is now unconsciously but internationally getting displayed by our highest stateman.

I would be very much proud of him should his critique be on the meaning, unity, togetherness, and aspirations embodied in the verses of the anthem.

If that story is true about our man, then am sorry for him
Are you sorry for him fo being conscious of his people attitude? I feel sorry for you for that.
 
Tupe ushahidi wa Kikwete kuukataa wimbo huo. Kama ni kweli aliukataa kwa sababu umekaa kidini zaidi sio kosa kwa sababu wimbo huo unawakilisha watu wa dini zote pamoja na wasio na dini. Rais alikuwa anasimamia umoja na mshikamano wa taifa letu.
Did you read what you wrote kabla hujapost kaka? Nyimbo za taifa siku zote zina udini, ni mawasiliano kati wa wananchi wa nchi hiyo na muumba wao, au mola wao. Wimbo wa taifa la Tanzania unaanza na Mungu ibariki.. Suala hapa si udini, mleta habari amesema JK aliukataa kwa sababu una ukristo zaidi, and that is the problem inayozungumziwa hapa. Hakusema una udini, no una bali ukristo zaidi!! Mbona wimbo wa TZ unasema Mungu, ambaye anatumiwa zaidi na wakristo kuliko waislamu wanaomuita Mola! mbona JK hajalalamika-- nadhani alikosa point baada ya kuona mwenzake M7 kaukataa loh
 
mwaka huu, wakiristo wamebanwa kila kona
 
bora kuwa mdini kuliko kuwa fisadi, mdini anaweza kubadilika kuwa mcha Mungu lakini fisadi hawezi kwani ni karibu na shetani kwa maana kwa ufisadi wake , watoto Mhimbili wakufa, kwa kukosa umeme wakati mama akijifungua, hewa chafu inayoleta kansa kwa kuvuta hewa mbaya ya majenerator kwa sababu ya fisadi, magari yanaaribika hakuna barabara fisadi anayekaa mjini anafurahi pale movenipik na The kilimajaro wakti tukiangaika kuwakimbia tukielekea tegeta kwa fisadi origino IPTL mdini akieleweka vizuri Tanzania tunaungana kuwa na dini moja, hakuna majibizano na mizozo tena maana watakuwa wanakubalika kisiasa na kiuchumi, mdini anweza kuibadisha nchi kuwa ya kijamaa maana watakuwa wanagawana mapato sawa lakini fisadi anachua vyote, sasa hivi inakalibia kuwa kila mtanzania kuwa na polisi wake, huu ni uozo sio ajira, nchi yeney amani na utulivu kuna viwanda vya vyakula na vya vifaa vya maendeleo nchi ambazo azina amni kuna viwanda vya silaha, nasema hivyi aliyeanzisha hoja ya udini sio ndini bali ni mshenzi tu mharibifu, anayefuata dini sio mbinafsi na manfiki, ni mkweli na mpenda haki.
 
Brother,

Perhaps that is his religious true colour. A colour of inner religious extreemism! A colour which is now unconsciously but internationally getting displayed by our highest stateman.

I would be very much proud of him should his critique be on the meaning, unity, togetherness, and aspirations embodied in the verses of the anthem.

If that story is true about our man, then am sorry for him

Unity with who? I detest Kikwete, and neither do i wanna see Tanzania unite with these crack heads near our borders. Tanzania can do without, it's only leadership that lacks! Ni kweli nchi inaongozwa na teja!
 
ukiristo ni anasa sio dini ndio maana hakuna mdini kuna muanasa

Umenisaidia sana ndugu yangu ngojea nikajipumzikie.Ukweli siku zote huelea,yaani hukaa juu.Nilikuwa sijagundua kwa nini kila muislam anaitwa mdini! kumbe uislam ndio dini,ahaaaaa
Ni sawa jk ni mdini,yaani muislam.Udini = Uislam.Dini ya haki mbele ya MweneziMungu ni Uislam.
 
tanzania ilivyo hivi: nyerere mkombozi, mwinyi mdini. mkapa mkombozi, jk mdini. John mkombozi, abrahaman mdini, jOSEPH mkombozi. Amour mdini, Samwel Mkombozi, Juma mdini, Lilian Mkombozi, Asha mdini. ndugasa mkombozi , Abubakar mdini taifa linaelekea wapi?

Wote trailer, picha ya mwenye udini zaidi hakuna anae mzidi Padri Slaa na CDM. Hawa jamaa ni wadini ile mbaya hakuna wa kuwalinganisha nao aisee
 
Unity with who? I detest Kikwete, and neither do i wanna see Tanzania unite with these crack heads near our borders. Tanzania can do without, it's only leadership that lacks! Ni kweli nchi inaongozwa na teja!

teja kwa kuwa havai msalaba kama nyerere na mkapa?
 
Tanzania's Jakaya Kikwete refused the proposed East African Community anthem saying the song was "too christian".

While other EAC heads of state had no qualms on the tune, Museveni had also refused the song on the grounds that it was "too soft".He said he was a revolutionary and that the regional anthem should take cognisance of the wave of "democratic revolution" sweeping Africa, therefore the beat must be "powerful".

Source: The East African, December 27th 2010

Pole JK mdini sasa tunamfahamu.......haya yalikuwa ni mashindano na aliyefanya vizuri ilibidi atuzwe..........vinginevyo ni uchakachuaji tu ambao JK sasa ni profesa.......................................
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom