Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,194
- 297
Luteni,Wewe waberoya usimkimbie Mwafrika kuja kwa ID ya Kubwajinga maana wewe thread yeyote itakayoanzishwa hata ikiwa ya tangazo la kifo lazima utaingiza neno kama si Chadema Mbowe au Slaa basi upinzani dhaifu siku hizi humtaji Zitto maana unajua alivyokufanya pale Daruso hadi kilindwa na FFU
Jaribu kutumia uwezo wako wa akili kupambanua mada ili uisaidie JF na nchi kwa ujumla. Ukianza kutumikia umbea na uzushi, utatupotezea muda wetu na ubora wa JF.
Ningekushauri ujadili mazito yanayoletwa humu JF kulingana na yaliyomo ndani yake. Kama unafikiri kuna watu wenye ID zaidi ya moja is immaterial kwa sababu huna uwezo wa kuwatambua zaidi ya kuzusha umbea. Kama wanazo, sio jambo baya as long as wanazitumia zote effectively.