sera za CCM zimeanza kutekelezwa kwa kasi zaidi.....UPANUZI WA BARABARA TOKA MWENGE UNAENEDELEA...HONGERENI CCM KWA KUBUNI NJIA YA KUPUNGUZA FOLNI NA KUKUZA UCHUMI
sera za CCM zimeanza kutekelezwa kwa kasi zaidi.....UPANUZI WA BARABARA TOKA MWENGE UNAENEDELEA...HONGERENI CCM KWA KUBUNI NJIA YA KUPUNGUZA FOLNI NA KUKUZA UCHUMI
Naona sasa kikwete ameanza kujenga mazoea mabaya ya kujifanya amekasirika kwa kutoridhika na utendaji wa baadhi ya wizara. Ninachoshangaa kwa nini amemwandama mhe. Magufuli wakati wizara nyingine kama madini ni uozo mtupu. Au ndiyo mbinu za kumalizana kuelekea 2015i
!!!!
Kinachogomba hapa si yeye kusema au kutoa kauli. Tatizo ni kuwa kauli anazotoa zinafanya mtu mwenye akili timamu ashindwe kuelewa anasimamia nini na kwanini.
Alipomdhalilisha Magufuli ambaye ndiye waziri husika kuwa anavunja nyumba za wanyonge na aache alikuwa anatafuta 'popularity' kwa kuonyesha 'sympathy' kwa wanyonge. Sasa anapoambiwa gharama za ujenzi zinachangiwa na malipo yatokananyo na kubomoa nyumba za wavamiaji anasema wizara na idara zake hazifanyi kazi. Huyu ndiye JK.
Fikiria, yeye kama mwenyekiti wa kamti kuu (CC) aliwahi kusema kamati kuu inaafiki kulipa Dowans. Alipokuwa na wabunge ubungo plaza akasema wameamua wasilipe na hata yeye haimpendezi. Ni JK.
Kikwete yupo sawa, hawa Tanroads, Halmashauri walikuwa wapi? Mtu anaanza kusafisha kiwanja, kuweka msingi, kujenga, anapewa na umeme na Tanesco, anazaa, anajukuu, leo mumpe masaa 48, haki iko wapi hapo.
Hawa mainspekta wapo, wakienda wanapewa kitu kidogo watu wanaendelea kuishi. Sasa leo wakuhukumiwa ni hawa mainspekta. Kikwete anasema rais wapewe muda wa kutosha kuhama na walipwe. Hapo bado anafanya makosa?
Kweli humu JF, wengi ni chuki binafsi kwa Kikwete au ni kwa dini yake?
Jamani mtendeeni haki Rais Kikwete! Kama amenusa ufisadi na kuwa barabara hazijengwi kwa kiwango asitoe angalizo kwa Wizara na TANROADS? Akikaa kimya maneno, akisema tena inakuwa maneno. Mbona leo nimeona amenena vyema! Mbona kamkemea Mama wa Ardhi na wasomi wake? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Naona sasa kikwete ameanza kujenga mazoea mabaya ya kujifanya amekasirika kwa kutoridhika na utendaji wa baadhi ya wizara. Ninachoshangaa kwa nini amemwandama mhe. Magufuli wakati wizara nyingine kama madini ni uozo mtupu. Au ndiyo mbinu za kumalizana kuelekea 2015i
Jamani huyu JK hata kama anachukiwa vipi, lakini tumwache atende kazi. Yeye ametoa angalizo, yaani bosi kumtahadharisha mfanyakazi wake ni tatizo. Mbona yanakuwa majungu sasa? Au vitu vya kuandika vimeisha? Kuna tatizo ujenzi tena kubwa saana. Kiwango kikubwa saana cha bajeti yetu inakwenda huko. Wewe Dumelambegu sijui mbegu gani unayopanda!!! Wakati fulani tuwe tunafikiria japo kidogo kabla ya kusakama watu.
Hiyo ya 1.8 billioni ni uzushi. Pls toa evidence. Hivi kutomsema Kawambwa kuna justify kukaaa kimya? Mfano baba amemuadhibu mtoto A kwa kosa la kutukana ila kwa kuwa hakumuadhibu mtoto B basi ni tatizo?Mbona hakumkemea SHUKURU KAWAMBWA?
Hivi hujuhi kuwa ufisadi umeshamiri wakati gani wizara ya ujenzi?
just to remind you kuwa Magufuli alipoingia wizarani alilalamika sana na kuwa gharama kujenga barabara kwa 1 KM ni kubwa kuliko zilizopo Africa mashariki na kati.
Mikataba aliyoikuta mingi ni 1 KM kwa 1.8 Billion, sasa yeye kasaini mipya juzi mfano wa barabara ya Iringa mpaka Dodoma kwa 1 KM kwa 0.8 billion.
Kwanini tusimkamate shukuru kawambwa hatueleze chenji zetu ziko wapi? na bado barabara zenyewe ni za KICHINICHINA.
ignorance of law is not an excuse ..... huwezi kunya kwenye lango la ikulu ukajitetea kuwa hukujua hairuhusiwi .... pima kichwa chako
ignorance of law is not an excuse ..... huwezi kunya kwenye lango la ikulu ukajitetea kuwa hukujua hairuhusiwi .... pima kichwa chako
Hiyo ya 1.8 billioni ni uzushi. Pls toa evidence. Hivi kutomsema Kawambwa kuna justify kukaaa kimya? Mfano baba amemuadhibu mtoto A kwa kosa la kutukana ila kwa kuwa hakumuadhibu mtoto B basi ni tatizo?
Angekemea na mafisadi papa.Akikaa kimya mnadai kuna vacuum ya uongozi, akikemea eti anawaumbua mawaziri wake!
Acheni uchokozi!
Wewe ndiyo Bongolala kabisaaaaa na hata maneno yako yanaonesha thamani yako na behaviours zako. Bure kabisa. Mwenzio kaeleza alichosema Rais, na ametoa mifano. Wewe mfano wako umekaa kunyakunya tu? Huna mifano mingine kama "Great thinker"? Hamnazo kwelikweli.