Kikwete aendelea kumshambulia Magufuli

Usanii mtupu, wanaopandisha bei za ujenzi wa barabara waliletwa na Andrew Chenge na wakapata chati wakati wa Kawambwa... Jamaa alikuwa kimya ndo ameibukia leo kukemea kwa Magufulu, Huo ni usanii
 
sera za CCM zimeanza kutekelezwa kwa kasi zaidi.....UPANUZI WA BARABARA TOKA MWENGE UNAENEDELEA...HONGERENI CCM KWA KUBUNI NJIA YA KUPUNGUZA FOLNI NA KUKUZA UCHUMI

Ili kupunguza foleni effectvely, upanuzi wa new Bagamoyo road ungeanzia kwenye traffic lights pale Morocco (Ali Hassan Mwinyi na Kawawa roads)
 
sera za CCM zimeanza kutekelezwa kwa kasi zaidi.....UPANUZI WA BARABARA TOKA MWENGE UNAENEDELEA...HONGERENI CCM KWA KUBUNI NJIA YA KUPUNGUZA FOLNI NA KUKUZA UCHUMI

hongereni wana CCM kwa pumba kila kukicha
 
Niliwahi kusema huko nyuma kwamba wengi humu ni wa tu tunaoongozwa na "matukio" tu. Mtu anang'aa macho kwenye TV anangoja kuona JK kakosea nini leo, au Slaa kakosea nini, mbio anakimbilia kuleta hapa ili watu wamuone naye wa maana au Great Thinker. Kaita mtu mmoja kwamba hiyo ni kutaka cheap popularity. Halafu bila aibu unaleta hapa as if ni wewe tu uliyeona na kusikiliza. JK kaongea vyema tu tena akiwashangaa watendaji kwamba ni wasomi na wamesoma mpaka Ulaya juu ya mipango miji nk, halafu wanagawa viwanja vya wazi.
Mkuu siku nyingine usikurupuke kuletea watu ujinga kama huu. TV kila mtu anayo nyumbani usitake kuleta uongo hapa. Tena ingefaa uwaombe wana JF na watanzania hasa walio nje ya nchi radhi kwa uzushi wa kijinga kabisa.
 
Naona sasa kikwete ameanza kujenga mazoea mabaya ya kujifanya amekasirika kwa kutoridhika na utendaji wa baadhi ya wizara. Ninachoshangaa kwa nini amemwandama mhe. Magufuli wakati wizara nyingine kama madini ni uozo mtupu. Au ndiyo mbinu za kumalizana kuelekea 2015i
!!!!

Jamani mtendeeni haki Rais Kikwete! Kama amenusa ufisadi na kuwa barabara hazijengwi kwa kiwango asitoe angalizo kwa Wizara na TANROADS? Akikaa kimya maneno, akisema tena inakuwa maneno. Mbona leo nimeona amenena vyema! Mbona kamkemea Mama wa Ardhi na wasomi wake? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Kinachogomba hapa si yeye kusema au kutoa kauli. Tatizo ni kuwa kauli anazotoa zinafanya mtu mwenye akili timamu ashindwe kuelewa anasimamia nini na kwanini.
Alipomdhalilisha Magufuli ambaye ndiye waziri husika kuwa anavunja nyumba za wanyonge na aache alikuwa anatafuta 'popularity' kwa kuonyesha 'sympathy' kwa wanyonge. Sasa anapoambiwa gharama za ujenzi zinachangiwa na malipo yatokananyo na kubomoa nyumba za wavamiaji anasema wizara na idara zake hazifanyi kazi. Huyu ndiye JK.

Fikiria, yeye kama mwenyekiti wa kamti kuu (CC) aliwahi kusema kamati kuu inaafiki kulipa Dowans. Alipokuwa na wabunge ubungo plaza akasema wameamua wasilipe na hata yeye haimpendezi. Ni JK.
 
Kikwete yupo sawa, hawa Tanroads, Halmashauri walikuwa wapi? Mtu anaanza kusafisha kiwanja, kuweka msingi, kujenga, anapewa na umeme na Tanesco, anazaa, anajukuu, leo mumpe masaa 48, haki iko wapi hapo.

Hawa mainspekta wapo, wakienda wanapewa kitu kidogo watu wanaendelea kuishi. Sasa leo wakuhukumiwa ni hawa mainspekta. Kikwete anasema rais wapewe muda wa kutosha kuhama na walipwe. Hapo bado anafanya makosa?

Kweli humu JF, wengi ni chuki binafsi kwa Kikwete au ni kwa dini yake?
 
Mkuu wewe yaonesha wazi kwamba hata taarifa ya habari yenyewe hukutazama,, na ndiyo maana ili kuonekana nawe umo unaongea vitu at random. Laiti ungeangalia hiyo habari usingekurupuka. Niliwahi kushabikia sana posts zako za nyuma, lakini inaonesha kwamba umepoteza mwelekeo na mvuto. Jipange upya Mkuu.
 
Magufuli si ametaka mwenyewe kuwa toilet paper?
Kwanini aseme kujiuzulu afu aache?
Then anapenda kila mafuta anayo pakwa na kikwete
 
Kikwete yupo sawa, hawa Tanroads, Halmashauri walikuwa wapi? Mtu anaanza kusafisha kiwanja, kuweka msingi, kujenga, anapewa na umeme na Tanesco, anazaa, anajukuu, leo mumpe masaa 48, haki iko wapi hapo.

Hawa mainspekta wapo, wakienda wanapewa kitu kidogo watu wanaendelea kuishi. Sasa leo wakuhukumiwa ni hawa mainspekta. Kikwete anasema rais wapewe muda wa kutosha kuhama na walipwe. Hapo bado anafanya makosa?

Kweli humu JF, wengi ni chuki binafsi kwa Kikwete au ni kwa dini yake?

ignorance of law is not an excuse ..... huwezi kunya kwenye lango la ikulu ukajitetea kuwa hukujua hairuhusiwi .... pima kichwa chako
 
Jamani mtendeeni haki Rais Kikwete! Kama amenusa ufisadi na kuwa barabara hazijengwi kwa kiwango asitoe angalizo kwa Wizara na TANROADS? Akikaa kimya maneno, akisema tena inakuwa maneno. Mbona leo nimeona amenena vyema! Mbona kamkemea Mama wa Ardhi na wasomi wake? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Mbona hakumkemea SHUKURU KAWAMBWA?

Hivi hujuhi kuwa ufisadi umeshamiri wakati gani wizara ya ujenzi?
just to remind you kuwa Magufuli alipoingia wizarani alilalamika sana na kuwa gharama kujenga barabara kwa 1 KM ni kubwa kuliko zilizopo Africa mashariki na kati.
Mikataba aliyoikuta mingi ni 1 KM kwa 1.8 Billion, sasa yeye kasaini mipya juzi mfano wa barabara ya Iringa mpaka Dodoma kwa 1 KM kwa 0.8 billion.
Kwanini tusimkamate shukuru kawambwa hatueleze chenji zetu ziko wapi? na bado barabara zenyewe ni za KICHINICHINA.
 
Naona sasa kikwete ameanza kujenga mazoea mabaya ya kujifanya amekasirika kwa kutoridhika na utendaji wa baadhi ya wizara. Ninachoshangaa kwa nini amemwandama mhe. Magufuli wakati wizara nyingine kama madini ni uozo mtupu. Au ndiyo mbinu za kumalizana kuelekea 2015i
Jamani huyu JK hata kama anachukiwa vipi, lakini tumwache atende kazi. Yeye ametoa angalizo, yaani bosi kumtahadharisha mfanyakazi wake ni tatizo. Mbona yanakuwa majungu sasa? Au vitu vya kuandika vimeisha? Kuna tatizo ujenzi tena kubwa saana. Kiwango kikubwa saana cha bajeti yetu inakwenda huko. Wewe Dumelambegu sijui mbegu gani unayopanda!!! Wakati fulani tuwe tunafikiria japo kidogo kabla ya kusakama watu.
 
Mbona hakumkemea SHUKURU KAWAMBWA?

Hivi hujuhi kuwa ufisadi umeshamiri wakati gani wizara ya ujenzi?
just to remind you kuwa Magufuli alipoingia wizarani alilalamika sana na kuwa gharama kujenga barabara kwa 1 KM ni kubwa kuliko zilizopo Africa mashariki na kati.
Mikataba aliyoikuta mingi ni 1 KM kwa 1.8 Billion, sasa yeye kasaini mipya juzi mfano wa barabara ya Iringa mpaka Dodoma kwa 1 KM kwa 0.8 billion.
Kwanini tusimkamate shukuru kawambwa hatueleze chenji zetu ziko wapi? na bado barabara zenyewe ni za KICHINICHINA.
Hiyo ya 1.8 billioni ni uzushi. Pls toa evidence. Hivi kutomsema Kawambwa kuna justify kukaaa kimya? Mfano baba amemuadhibu mtoto A kwa kosa la kutukana ila kwa kuwa hakumuadhibu mtoto B basi ni tatizo?
 
ignorance of law is not an excuse ..... huwezi kunya kwenye lango la ikulu ukajitetea kuwa hukujua hairuhusiwi .... pima kichwa chako

Wewe ndiyo Bongolala kabisaaaaa na hata maneno yako yanaonesha thamani yako na behaviours zako. Bure kabisa. Mwenzio kaeleza alichosema Rais, na ametoa mifano. Wewe mfano wako umekaa kunyakunya tu? Huna mifano mingine kama "Great thinker"? Hamnazo kwelikweli.
 
Kwa hiyo uondolewe masaa 48, na kma una watoto wadogo, wazee, uklale nao barabarani?

Be a human being. Hao wakusimamia hizo walikuwa wapi?

Ukiongelea kunya Ikulu, si mpaka kaja Kikwete ndio katengeneza kule upande wa baharini, watu walikuwa wakinya hovyo kule.
 
JK alikuwa anaujua fika utendaji wa Magufuli. Alimpa wizara hiyo ili Magufuli na Mwakyembe wachafuliwe, wasiweze kurudi hata bungeni hapo 2015
 
Hiyo ya 1.8 billioni ni uzushi. Pls toa evidence. Hivi kutomsema Kawambwa kuna justify kukaaa kimya? Mfano baba amemuadhibu mtoto A kwa kosa la kutukana ila kwa kuwa hakumuadhibu mtoto B basi ni tatizo?

Mkuu hapo penye Red, napaboresha kwamba, Mfano Baba amemuadhibu mtoto A kwa kosa la kutukana LEO, ila kwa kuwa hakumuadhibu mtoto B MWAKA JANA basi ni tatizo?
 
Wewe ndiyo Bongolala kabisaaaaa na hata maneno yako yanaonesha thamani yako na behaviours zako. Bure kabisa. Mwenzio kaeleza alichosema Rais, na ametoa mifano. Wewe mfano wako umekaa kunyakunya tu? Huna mifano mingine kama "Great thinker"? Hamnazo kwelikweli.

salimia ... usingizi uliolala ni wa udandiaji wa issue usiozifuatilia .... je unajua kwamba urban planning ilifanywa kabla watu hawajavamia road reserves ....wacha kukurupuka na njaa zako ... ardhi ipo nyingi nchi hii ... nyinyi eti mnakimbilia kandokando ya barabara mjenge fremu ..... magufuli anafuata kanuni na sheria kwani road reserve ya highway ya morogoro ni 60 meters from the center of the road ( epicenter of the road camber) both sides sasa wewe unasemaje

be wise ... usilete ushabiki hapa lete hoja .... defend your point .. waliotoa hivyo vibali kwani JK hawajui ....ofisi zao hazijulikani... mbona hawakwamtwi wakawajibishwa .... toka kwenye giza la mchana wewe salimia... unapotoshwa na ushabiki wa kisiasa ...sheria zote zipo wazi kuhusu ardhi na maendeleo
 
Back
Top Bottom