Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

Makufuli watu wanamsifia sana lakini jamaa ni bla bla sana sio mtendaji!

Kazi ya kutengeneza barabara ilifanywa na TANROADS yeye alikuwa kazi yake kuongea tu na kukremisha majina ya vijiji barabara zinapopita.

Labda kitu kikubwa alichofanya kuuza nyumba za serikali.

Jamaa mzuri wa kukremu lakini utendaji hamna!!!
 
kuuza nyumba za serikali liliamliwa na serikali, ulikuwa uamuzi wa serikali na si magufuli. Baraza lote la mawaziri la wakati huo wanapaswa kuwajibishwa kwa hilo, including Kikwete.

Hiyo TANROAD ilikufa baada ya magufuli kutolewa Ujenzi? wakati wa Mramba, chenge etc TANROD ilikufa? kwa nini ilikwa active wakati wa magufuli?
 
Nitamwona wa maana sana angalau akirudisha ile "aliyompa" Sundi Malomo! Zingine potelea mbali, itaelewekaga akiingia Rais mwenye akili timamu,utashi na maumivu kwa Nchi.
 
TANROADS ilikuwepo na bado ipo inaendelea kupiga kazi tofauti tu kwa sasa ni kwamba mawaziri waliofuata hawakuwa wapiga porojo kama magufuli ndio maana barabara zinajengwa kimya kimya, kazi haijasimama.

TANROADS wakupewa credit ni Mkapa si Makufuli.
 
Izo nyumba ziliuzwa kwa mwongozao wa Ben.
Kumbuka kuwa kama Ben angekataa manake izo nyumba zisingeuzwa,
Ata ingekuwa wewe mkuu wako kaidhinisha uuzwaji wa nyumba lazima nawe ungejimegea tuu tuache unafiki as long as baraka za mkuu zishatolewa

Mtu safi unajiuzulu. Viongozi wa mwaka 2080 watakaa Bunju na Luguruni. Naomba na ikulu iuzwe.
 
Nitamwona wa maana sana angalau akirudisha ile "aliyompa" Sundi Malomo! Zingine potelea mbali, itaelewekaga akiingia Rais mwenye akili timamu,utashi na maumivu kwa Nchi.
Niliwahi kumsikia baba mmoja akimlaani na kumwombea dua mbaya kweli akisema wamefanya kazi kwa uaminifu mkubwa na alikaa kwenye nyumba moja pale osterbay kwa miaka 35 akaandika barua ya kuomba auziwe akapangiwa kijana mmoja aliyekuwa anafanya idara ya maji Dodoma inauma kweli Sundi molomo ni nani huyo
 
TANROADS ilikuwepo na bado ipo inaendelea kupiga kazi tofauti tu kwa sasa ni kwamba mawaziri waliofuata hawakuwa wapiga porojo kama magufuli ndio maana barabara zinajengwa kimya kimya, kazi haijasimama.

TANROADS wakupewa credit ni Mkapa si Makufuli.

Uko sahihi 100%. Niliwahi kusema Magufuli ni "Stage Show".
 
Hii thread imenishangaza kabisa, yaani huyu jamaa watu wanajadili upande wa pili wa shilingi bila majibizano makali toka kwa wapambe. Alau kwa mwendo huu JF inaweza kurejesha hadhi taratibu. Kwamba ana mazuri alifanya lakini na mapungufu yake yatajwe.
 
Sheria za manunuzi zilifuatwa..? Ushindanishi ulikuwapo ikiwamo Matangazo katika magazeti..? Nyumba hizi zingeuzwa kwa ushindani … je serikali isingeongeza zaidi mapato…? Je.?.nyumba hizi zilistaili haki ya mwana serikali yupi kuzinunua ( serikali ni mwananchi)..? Serikali kuuza nyumba na baadae kujenga nyumba ndiyo sera zake …. (serikali inafanya real estate business)…?

Nyumba hizi nyingi zilikuwa kwenye prime areas na hivyo thamani ya nyumba hizi pamoja na kiwanja kuwa kubwa (kama vile oysterbay) je..? wanunuzi walilipa kodi husika kama ijulikanavyo capital gains kama inavyostahili kwa TRA…?...Serikali imepata faida gani au hasara gani ilipouza nyumba hizi nchi nzima…?...Wafanyakazi wa serikali Waliouziwa nyumba hizi wanagapi walikuwa hawana nyumba binafsi hata moja…?...Muhimili upi uliotoa idhini ya nyumba hizi kuuzwa kwa wafanyakazi tu wa serikali na sio watanzania wote..?

Je ilifanyika stadi ya kiuchumi, kimazingira na kijamii kuhakikisha zoezi hili litakuwa na manufaa ya taifa…? appraisal
Inashangaza zaidi na zaidi pale ambapo serikali yenyewe ndiyo iliyotathmini thamani ikitumia watahmini wa nyumba na viwanja na serikali hiyo hiyo ikafanya mauzo kwa wafanyakazi wake …hapa kuna haki…?

Nyumba zile nyingi zikiwa na national antique sasa hazionekani tena na zote zipo kwenye mikono ya watu wenye nguvu inayotishia wananchi hivyo nchi imepoteza hazina kubwa ya kiutamaduni na uzama wake

Hii inamaana kwamba nchi hii ikiamua kuuzwa basi watakaonunua ni wafanyakazi wa serikali … serikali na wafanyakazi wote walionunua nyumba hizi wafunguliwe mashitaka…. Huu ni uhujumu wa uchumi wa karne ya ishirini na moja…?
 
sheria za manunuzi zilifuatwa..? Ushindanishi ulikuwapo ikiwamo matangazo katika magazeti..? Nyumba hizi zingeuzwa kwa ushindani … je serikali isingeongeza zaidi mapato…? Je.?.nyumba hizi zilistaili haki ya mwana serikali yupi kuzinunua ( serikali ni mwananchi)..? Serikali kuuza nyumba na baadae kujenga nyumba ndiyo sera zake …. (serikali inafanya real estate business)…?

Nyumba hizi nyingi zilikuwa kwenye prime areas na hivyo thamani ya nyumba hizi pamoja na kiwanja kuwa kubwa (kama vile oysterbay) je..? Wanunuzi walilipa kodi husika kama ijulikanavyo capital gains kama inavyostahili kwa tra…?...serikali imepata faida gani au hasara gani ilipouza nyumba hizi nchi nzima…?...wafanyakazi wa serikali waliouziwa nyumba hizi wanagapi walikuwa hawana nyumba binafsi hata moja…?...muhimili upi uliotoa idhini ya nyumba hizi kuuzwa kwa wafanyakazi tu wa serikali na sio watanzania wote..?

Je ilifanyika stadi ya kiuchumi, kimazingira na kijamii kuhakikisha zoezi hili litakuwa na manufaa ya taifa…? Appraisal
inashangaza zaidi na zaidi pale ambapo serikali yenyewe ndiyo iliyotathmini thamani ikitumia watahmini wa nyumba na viwanja na serikali hiyo hiyo ikafanya mauzo kwa wafanyakazi wake …hapa kuna haki…?

Nyumba zile nyingi zikiwa na national antique sasa hazionekani tena na zote zipo kwenye mikono ya watu wenye nguvu inayotishia wananchi hivyo nchi imepoteza hazina kubwa ya kiutamaduni na uzama wake

hii inamaana kwamba nchi hii ikiamua kuuzwa basi watakaonunua ni wafanyakazi wa serikali … serikali na wafanyakazi wote walionunua nyumba hizi wafunguliwe mashitaka…. Huu ni uhujumu wa uchumi wa karne ya ishirini na moja…?

haya yote muulize yohana pombe magufuli ndiye alisabisha nafikiri ana majibu sahihi
 
toka nipo nasoma hizo habari nazickia na hakuna lolote kwn hata mi n mhanga wa hiyo kitu nyumba ya serikali tuliokuwa twakaa iliuzwa ikabid tuje tolewa na auctions na polisi toka cku hyo mzee alihapa haji fanya kazi serikaln...
 
Kuna watanzania wenzetu wamejipa haki zaidi ya wengine. Kilichofanyika ni Ubinafsi wa kujiona hawawezi kuishi sehemu nyingine isipokua 'Oysterbay'. 'Wa Oysterbay' ndio waliochonga mchongo ulioendelezwa nchi nzima.
Inasikitisha namna yalivyo zuka Maduka,Baa na Saloon za vinyozi kila kwenye hizo nyumba zetu walizopora kwa Dar na jinsi nyumba hizo zilivyobadilika na kuwa magofu mikoani. Kama vile nilimsikia JK alipolihutubia bunge kwa mara ya kwanza kama Raisi akisema hili ataliweka sawa....
 
Uamuzi wa mkapa 'ben' kuamua kuuza nyumba za serikali kwa watumishi wa serikali umesababisha hasara kubwa kwa nchii hii .
Miaka 5 ya mwanzo kulikua na mawaziri na manaibu wao pamoja na makatibi wakuu ambao takriban 25 hawakua na makaazi ya serikali hivo walikua wakiishi mahoteli kwa gharama za serikali.
Na sasa kipindi cha pili kuna mawaziri wapya wanakaa hotelini. New africa pekee yake kuna vigogo 10 na familia zao wanaishi katika suites ambapo bila ya chakula bei yake ni usd 300 kwa siku na watoto wao wanakaa room za kawaida . Wengine wana ma body guard wao wanakaa humo kwa gharama za serikali pia.

Wako wengine wanakaa golden tulip , wapo wanaokaa double tree hilton na wengine holiday inn.
Kwa siku gharama kwa walalahoi inawatoka kama usd $ 30,000.00
kwa mwezi kama $ 900,000/ zinatumika sasa fanya kwa mwaka $ 10,800,000/

tunaweza kununua dowans mpya
laiti nyumba zile hazikuuzwa haya yasingekuwepo....usiseme uuzwaji wa nbc, mashirika ya umma na km
 
This was not only the height of stupidity, it was the outcome of a corrupt regime. Nasikia mpaka sasa kuna mawaziri wanakaa hoteli kwa sababu hakuna nyumba za mawaziri. Na wanalipiwa na serikali ambayo kila kukicha haisitu kutembeza bakuli.
 
Uamuzi wa mkapa 'ben' kuamua kuuza nyumba za serikali kwa watumishi wa serikali umesababisha hasara kubwa kwa nchii hii .
Miaka 5 ya mwanzo kulikua na mawaziri na manaibu wao pamoja na makatibi wakuu ambao takriban 25 hawakua na makaazi ya serikali hivo walikua wakiishi mahoteli kwa gharama za serikali.
Na sasa kipindi cha pili kuna mawaziri wapya wanakaa hotelini. New africa pekee yake kuna vigogo 10 na familia zao wanaishi katika suites ambapo bila ya chakula bei yake ni usd 300 kwa siku na watoto wao wanakaa room za kawaida . Wengine wana ma body guard wao wanakaa humo kwa gharama za serikali pia.

Wako wengine wanakaa golden tulip , wapo wanaokaa double tree hilton na wengine holiday inn.
Kwa siku gharama kwa walalahoi inawatoka kama usd $ 30,000.00
kwa mwezi kama $ 900,000/ zinatumika sasa fanya kwa mwaka $ 10,800,000/

tunaweza kununua dowans mpya
laiti nyumba zile hazikuuzwa haya yasingekuwepo....usiseme uuzwaji wa nbc, mashirika ya umma na km

Kama huna hoja bora usiandike. Hata Mzee mwanakijiji anakushinda kwa unaa.

Hivyo, kwa Serikali mbona ni vijisenti tuu. Unaishi karne ipi wewe?
 
Back
Top Bottom