palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
kwani mnajua nini walichopeleka?
Mhhh.....!
Hata mimi nimepigwa na butwaa tena katika aya hizo mbili hakuna chochote cha maana zaidi ya sahihi ya Mnyika na Nchimbi!!!Mkuu Invisible, heshima mbele sana Mkuu!!
Yani kikao cha siku mbili kimehitimishwa na Paragraph Mbili tuu, hii kitu hatuwezi kuipata kwa kina Mkuu.
Gamba Jipya
tangu lini press release ikawa detailed? kimsingi vipo vitu wamekubaliana ambavyo vitaingizwa punde sheria hiyo ikifanyiwa marekebisho .
Unajua nilipopata barua pepe hii toka State House nilidhani labda attachment imekosewa, lakini ndiyo hivyo mkuu.Mkuu Invisible, heshima mbele sana Mkuu!!
Yani kikao cha siku mbili kimehitimishwa na Paragraph Mbili tuu, hii kitu hatuwezi kuipata kwa kina Mkuu.
Gamba Jipya
Wengi tumebaki midomo wazi!Mhhh.....!
waziri wa Habari anasign kama nani????????? haya ni makubaliano ya sheria sasa yeye kaja vipi hapo???:A S embarassed: