Kikao kati ya CHADEMA na Serikali (Ikulu) chaisha, makubaliano haya hapa!

Mkuu Invisible, heshima mbele sana Mkuu!!

Yani kikao cha siku mbili kimehitimishwa na Paragraph Mbili tuu, hii kitu hatuwezi kuipata kwa kina Mkuu.

Gamba Jipya
Mkuu, najua itakuja tu hapa...............tatizo langu ni tactics za JK za kuzubaisha mambo....anaweza akangoja watu wasahau ndo atoe hotuba kwenye sherehe za uhuru kusema muswada urudi bungeni.

tikitimaji halipikwi.
 
vipengele vipi vitaongezwa! je inaruhusiwa kuongeza au kupunguza vipengere vilivyopitishwas na bunge? makamanda watakuwa wamepigwa changa la macho
 
Unajua nilipopata barua pepe hii toka State House nilidhani labda attachment imekosewa, lakini ndiyo hivyo mkuu.

Ama kweli...!
Hapo kuna element ya usiri, nawashauri CDM kuwa makini maana usiri ndiyo umeleteleza ufisadi wa kutisha sana.
 
tangu lini press release ikawa detailed? kimsingi vipo vitu wamekubaliana ambavyo vitaingizwa punde sheria hiyo ikifanyiwa marekebisho .

... Na maana kamili ya unachoseama ni kuwa sheria itapita kama ilivyo ... ndio maana ni swala la kuifanyia sheria mabadiliko na sio kuisitisha!
 
Dah!! Politics and politicians...yaani mkutano wa siku mbili unamalizika kwa makubaliano ya paragraph mbili tu, just as simple as that..halafu taarifa yenyewe imeandikwa kienyeji...
 
Kile kikao kati ya Rais wa JMT Dr. JK na ule ujumbe wa CDM ukiongozwa na Mbowe kimekwisha ikulu ikiwa ni muendelezo wa mazungumzo yao yaliyo anza jana na kuendelea leo saa 4 asubuhi. Kuna baadhi ya mambo mkuu wa kaya ameyakubali na kuna mengine yamekataliwa katika waraka ule ambao cdm walimuachia jana ikulu.
Ahasante mkuu kwa taarifa tujuze nini zaidi kilichojili?????????
 
vitaingiza kivipi? nani ataviingiza? JK atasign?

Je ujumbe wa CDM ulienda kufanya nini ikulu?

Hivi mkuu ww ulitegemea kwenye haya mazungumzo chadema wangebadilisha kitu ?. Na kwa taarifa za ndani nilizo zipata ni kuwa baada ya ile jana kuahirishwa ujumbe wa cdm ulitoka na mawazo tofauti ndani ya kikao hawakuwa wamoja tena

 
30tothx.jpg
Hayo marekebisho itafanyiwa kabla ya Rais kusaini?

Kwasababu si inasemekana muda ni mchache kabla hajasaini?

Ama ameghairisha kuusaini muswada?
 
Ni kweli tumemaliza kikao kwa amani kama tulivyoanza jana. Kimsingi, tumekubaliana kutokukubaliana na madai mengi yaliyowasilishwa. Kwa undani zaidi, subirini taarifa toka ikulu hapo saa mbili usiku.
Endapo yatakuwa ni msingi hayo ambayo hayakubaliwa utakuwa ndiyo mwanzo wa machafuko TZ.
 
Wengi tumebaki midomo wazi!
mkuu, inawezekana wamekubaliana kutokukubaliana................sasa wakiacha Salva atoe zile press release zake kama ya jana ile kabla CHADEMA hawajasema kitu, tutajua kuna jambo kubwa hapo................otherwise, nategemea kusikia toka kwa kamati ya CHADEMA na zile porojo za Salva.
 
Kikao cha cdm na jk kimeisha, hamna vyanzo vya habari? Mbona taarifa haziwafikii wananchi mapema au mpaka taarifa ya habari jion, serikali na cdm tunaomba taarifa, tumieni hivi vyanzo vya habari vipo kwa ajili ya wananchi.
 
Huu unaweza kuwa mwanzo mzuri wa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya. Serikali kukiri kwamba sheria ile inaweza kurekebishwa kabla haijasainiwa inaweza kuwa habari njema mbeleni
 
Unajua nilipopata barua pepe hii toka State House nilidhani labda attachment imekosewa, lakini ndiyo hivyo mkuu.

Ama kweli...!

Nilijua tu wakionja ile chai wamekwisha

Doh choo cha stendi wameingia bila shs 100
 
Hivi mkuu ww ulitegemea kwenye haya mazungumzo chadema wangebadilisha kitu ?. Na kwa taarifa za ndani nilizo zipata ni kuwa baada ya ile jana kuahirishwa ujumbe wa cdm ulitoka na mawazo tofauti ndani ya kikao hawakuwa wamoja tena
baada ya ile juice....
 
Kikao cha cdm na jk kimeisha, hamna vyanzo vya habari? Mbona taarifa haziwafikii wananchi mapema au mpaka taarifa ya habari jion, serikali na cdm tunaomba taarifa, tumieni hivi vyanzo vya habari vipo kwa ajili ya wananchi.

Mbona taarifa tumeisha iweka muda mrefu sana , fuatilia thread mkuu acha kuropoka tu aisee !

 
Duh imekaa kama mikataba feki maana hamna specifics hapo............asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom