Kikao cha Wabunifu...

Zizu

Member
Sep 9, 2010
67
19
[h=6]Raia wa3 walikua wakibshana khs maandeleo walioyafanya ktk nchi zao. Wa kwanza alikua ni mchina, alisema kuna m2 kutoka hongkong alikua mlemav wa miguu aliekewa miguu ya bandia na alishrik marathon na kushnda, wa pili alikua ni mjeruman, alidai kuna m2 kutoka berlin alikua mlemav wa mikono na alimpa mikono ya bandia na alishrik volley ball na kushnda..! Wa tatu alikua ni mtanzania, alisema kuna m2 kutoka bagamoyo alizaliwa bila kichwa na alimwekea tikitit maji na amekua rais...! Wu iz a creative kat ya wa2 our...!?[/h]
 
Unaomba Ban ya wazi kabisa kwa kuweka Bagamoyo na neno rais.
 
Back
Top Bottom