Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

Mbona mboga kabisa


missed_the_train.jpg

Mbagara mbagara mbere jarara
 
Panga pangua siku za mwizi ni arobaini mama,Magamba hawatatuchezea milele amanke Tanzania ya leo sio ya jana.Watch the Movie:hail::behindsofa:
 
Ni hivi, waitane waogopeshane watishane sijui nini 2015 wengi watapanda kizimbani kwa huu uwizi wanaotufanyia. Maisha kwetu yamekuwa magumu kwaajili ya umaskini wa kutengenezwa na viongozi wa CCM. Sisi hutatajali wafanye uwizi wa mwisho mwisho maana ni lazima mali zote zitarudi. Na wale watu ambao majina yao yametumika na viongozi kama wamiliki wa hzo mali wazichukue ili tuone hawa viongozi hizo mali watashitaki wapi
 
kipugala

kama kweli kuna kikao basi hicho ndicho kipimo sahihi cha kujua nani ni mzalendo mwenye uchungu wa nchi yake na Watu wake huvyo mbivu na mbichi zitajulikana.Kwa wale ambao hwajaenda pale kuganga njaa nawaomba waendelee kuipigania nchi hii na watu wake kwa vile maisha hayako kwenye ubunge tu hata ukulima nao ni maisha kikubwa mtu uwe na imani na wanaoteseka kwa kuongozwa na serikali mbovu ambayo sijawahi kuiona.
 
Kikwete kaacha wateule wake hasa baadhi ya makatibu wakuu waonevu wakaonea wadogo, nao wadogo wakamlilia Mungu sasa Mungu anawachapa viboko wote na kaanzia juu na haitaisha hadi Kikwete aondoe hao waonevu wote bado wapo.
 
if symptoms persist seek medical advise.....rule no 1
Shake before to use.........................rule no 2

wanaenda kumsulubu fullkunjombe
over
 
tuache kelele ktk mitandao ya kijamii

twendeni viwanjani kwa wananchi huko ndiko kwenye uhalisia na tufanye kazi ya kuleta mabadiliko kwa kuwadunga wananchi sindano ya mabadiliko,dozi ya mabadiliko,dawa ya mabadiliko

tuwafanye wananchi waelewe hata kile wasichokielewa sasa,tuwasaidie kupambaua kwa lugha rahisi na mwisho tuwaache bila kuwalazimisha wafanye maamuzi
 
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.
My take: inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?


Inawezekana tatizo la paka kwa panya lingekwisha kama paka angefungiwa kengele shingoni: taabu ni kumpata panya wa kuifanya kazi hiyo. Napanya watakuwa wajinga sana wakidhani kuwa paka watajifunga au watafungana kengele shingoni" - Mwl. J. K. Nyerere

 
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.

My take:
Inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?



Nimesikia Waziri Mkuu anaenda kuwagawia posho wana CCM ili kuwapoza. Amegundua kumbe shida ni hiyo tu!
 
Msiwe wavivu wa kufikiri,jana wabunge wa ccm walimba wakutane,sasa huo ni utekelwzaji wa maombi ya wabunge wao.
 
hawana lolote nadhani wanaenda kuwapa onyo wale walioiponda serikali yao jana
 
Back
Top Bottom