Kikao cha dharura cha CCM mchana huu

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.

My take:
Inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?
 
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.
My take: inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?
Iwapo watatishwa, watajipambanua wapigania haki na wapigania ufisadi. Na hilo ndiyo uangamivu wao. Si mnasikia Sengerema nako diwani kaachia ngazi? Tunasubi wamalize bunge wengine wajitoe kwa wingi
 
Hili ndilo tatizo kubwa la Nchi yetu. Masilai ya chama mbele ya nchi nyuma. Wanaitwa kunyamazishwa kwa masilai ya chama wakati nchi inatafunwa
 
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.
My take: inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?

hawa jamaa bado wamelala, tena usingizi wa pono.
 
tutegemee wabunge hawa kunyamazishwa na kurudi bungeni wakiwa wamelowa kabisa! That is ccm; dawa ni kuiondoa tu
 
Hiki kiswanglish bana!! Hapa nimetoka kapa!!

Mbona mboga kabisa

missed_the_train.jpg
 
Ni kawaida yao kuitana faragha mambo yanapokuwa mazito Tundu Mwaga ***** waache wakajikune kimya kimya sisi wapiga kura tupo nanyi mlo namoyo wa ukweli wa uzalendo.
 
Hili ndilo tatizo kubwa la Nchi yetu. Masilai ya chama mbele ya nchi nyuma. Wanaitwa kunyamazishwa kwa masilai ya chama wakati nchi inatafunwa

Wakikubali kunyamazisha kama kipindi cha nyuma ndio watakuwa wamepigilia msumari wa mwisho kwenye jeneza lao...!
Hata sitegemei jipya sana toka kwao..ka kifupi hawana vifua vya kupambana nao hao 'vingunge' huko kwenye vikao vyao..!
Wacha tusubiri...
 
Wanaenda kupozana ila bado waCCM wengi wameshakichoka chama maana kimekuwa cha familia ya Kikwete.
 
Back
Top Bottom