Katiba ndio ya 1977 na marekebisho ya hadi April 30, 2000.Katiba?
Then kuna mgongano mkubwa na kanuni ambazo zimeweka taratibu za kumwondoa Spika. Hata hivyo Katiba prevails. Thanks
Katiba ndio ya 1977 na marekebisho ya hadi April 30, 2000.Katiba?
Then kuna mgongano mkubwa na kanuni ambazo zimeweka taratibu za kumwondoa Spika. Hata hivyo Katiba prevails. Thanks
Katiba ndio ya 1977 na marekebisho ya hadi April 30, 2000.
Sawa. Mchakato wa Azimio utawalazimu Wabunge wengi tu wawepo Bungeni.
Oh! Mnaendelea na VIRAKA. Iandikeni upya. ipo siku kiraka kitakaa juu ya kingine!Get ya marekebisho mapaka Februari 2005.
Nakumbuka wakati wa suala la Malima na Sitta tulifanyia kazi hii kitu maana walitaka kumtoa na kanuni zilihitaji wabunge 20 tu kusaini na simple majority kumtoa. PM ndio theluthi mbili na Rais. Tuangalie tena na sina hapa katiba toleo la mwaka 2005
Oh! Mnaendelea na VIRAKA. Iandikeni upya. ipo siku kiraka kitakaa juu ya kingine!
Whistling!Ha haha hahahh. Tayari kuna viraka juu ya viraka ingawa ni katiba changa kabisa.
Mwakani Februari tunaweka viaraka vingine katika nafasi za wabunge ili kuongeza wabunge kufikia 360 kama kikomo na kuongeza wabunge wa viti maalumu kutoka 75 mpaka 116.
Mnaongeza tena WABUNGE! Kwa uchumi gani tulionao? Hatuna madarasa, sekondari za Kata ni vichekesho,....tuliache hili sio mada husika.Ha haha hahahh. Tayari kuna viraka juu ya viraka ingawa ni katiba changa kabisa.
Mwakani Februari tunaweka viaraka vingine katika nafasi za wabunge ili kuongeza wabunge kufikia 360 kama kikomo na kuongeza wabunge wa viti maalumu kutoka 75 mpaka 116.
nchi imeshauzwa..ipo mikononi mwa RA na jopo lake, hata Kikwete na tabasamu lake hafurukuti..
wabunge nao waliochaguliwa 'kihalali' ni wachache, wengi wamemwaga pesa ili kufika hapo walipo, ndiyo maana ni rahisi kununuliwa na mafisadi..
kwa hali hii kuchapana makonde huko mbele haitakuwa jambo la kushangaza..
Yaani tutumie mamillioni ya kodi kwa ajili ya kutafuta Rostam ajiuzuru! mbona hiki ni kichekesho. dah! Rostam ...
Ha haha hahahh.
Mwakani Februari tunaweka viaraka vingine katika nafasi za wabunge ili kuongeza wabunge kufikia 360 kama kikomo na kuongeza wabunge wa viti maalumu kutoka 75 mpaka 116.
The next step wataleta hoja ya ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na Spika; Sitta ataondoshwa (kwani wabunge kadhaa watapangiwa visema kule nje na kura itapigwa). Akiondoshwa atawekwa Spika wao (jina tunalo) ambaye ataridhia maombi ya kina RA na Sofia. Ndipo tume wataiunda wao na kina RA na EL watasafishwa rasmi kwa kutumia utaratibu wa kibunge na hivyo maamuzi kuwa legally binding.
Tayari kwa karibu wiki kadhaa sasa pesa imetembea Dodoma kwa ajili ya jambo hili na kwa ajili ya kupata support ya wabunge. Novemba 7 ni siku muhimu kwa ajili ya hili.
.
Kwa vile jamaa ni king maker, hili ombi la tume huru ni zuga ya kujisafisha, he is there to stay to make the 2015 king!.
Mkuu Pasco,
RA ameonyesha ni kwa nini Six anamchukia EL na kwamba ndicho chanzo cha tume ya Mwakyembe. Mbona hajaeleza chuki kati ya Six na yeye imetokana na nini?
Kwangu mimi, hii ni hadithi ya mfanya maji haachi kutapatapa.
Tiba
You are very wrong. It is more to that. Line up towards 2015. Hafi maji yule, japo kwa sasa!
Mkuu Zitto,
Yaani RA naye ana line up towards 2015? Naomba mwenyezi Mungu asiniache hai kushuhudia matusi haya yakitokea!!!!
Tiba
Thank You hakuna sababu ya kutumia mabillioni wakati ukweli upo wazi... AONDOLEWE!
Mkuu Zitto,
Yaani RA naye ana line up towards 2015? Naomba mwenyezi Mungu asiniache hai kushuhudia matusi haya yakitokea!!!!
Tiba