Kikao cha CCM: RA Atema Cheche "Nitajiuzulu...."

Sio kutafuta RA ajiuzulu bali kama Tume ya Mwakiembe ilisema kweli, ilitenda haki na hakua na motives behind mlolongo wa majungu haya yanayoendelea.

Pasco hivi utakua lini kaka, hivi kuna haja ya kutafuta ushahidi mwingine juu ya RA, mimi naona hilo halina haja tena, make Kagoda ni ushahidi tosha kuwa jamaa ni Fisadi, alichokimbilia kurithi mikoba ya Richmond haraka haraka hiyo yote ilitoka wapi, kama sio walikuwa wanapasiana mipira na kaka yake EL, hajalishi jamaa anataka kujisafisha vipi, lakini Watanzania watakuwa wapuuzi vipi kurusu mjadala wa aina hiyo, PAYE zetu zitumike vibaya hivo, kuna haja ya kuanza kununua stoke za mapanga kama ilivokuwa Rwanda 1994-----we are desperately tired of this.
 
nchi imeuzwa tumebaki kupiga soga tuuuuuuuuuuuuuuu.......huku twaibiwa
Habari nilizozipata toka ndani ya Kikao cha Tume ya Mapatano na Maridhiano ya CCM na wabunge wake kilichomalizika jana hapa mjini Dodoma, Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, ametema cheche na kukubali kujiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya Chama iwapo itaundwa tume huru kuthibitisha yale ya tume ya Mwakiembe.

Miongoni mwa Cheche alizotema, ni pamoja na kumlipua Spika Sitta kana kwamba ni kumkomelea msumari wa mwisho kuthibitisha chuki binafsi za Spika Sitta dhidi ya Edward Lowassa.

RA amesema Kamati ya Mwakiembe ni siasa chafu, ni ubia kati ya Spika Sitta na Mwakiembe dhidi ya Lowassa na Rostam.

RA anadai Six aliomba kwa El kupewa nyumba yenye hadhi yake Dar es Salaam na Dodoma pamoja na ofisi yenye hadhi, Urambo, EL alimtilia ngumu kuwa ni kinyume cha taratibu. Pia aliomba lami toka Urambo-Tabora na Motorcade lakini EL alimgomea, hivyo jamaa akawa na hasira na kutafuta upenyo wa kufanya visasi.

RA alishauri iundwe Public Inquery ikigundua kuhusika kwake, yeye atajiuzulu nyadhifa zake zote.

Hata hivyo, RA hakuzungumzia kabisa issue za Kagoda kama uthibitisho wa dhati kuwa hahusiki aslan.:mad::mad:
 
Back
Top Bottom