Kikao cha CCM: RA Atema Cheche "Nitajiuzulu...."

Katiba ndio ya 1977 na marekebisho ya hadi April 30, 2000.


Get ya marekebisho mapaka Februari 2005.

Nakumbuka wakati wa suala la Malima na Sitta tulifanyia kazi hii kitu maana walitaka kumtoa na kanuni zilihitaji wabunge 20 tu kusaini na simple majority kumtoa. PM ndio theluthi mbili na Rais. Tuangalie tena na sina hapa katiba toleo la mwaka 2005
 
Get ya marekebisho mapaka Februari 2005.

Nakumbuka wakati wa suala la Malima na Sitta tulifanyia kazi hii kitu maana walitaka kumtoa na kanuni zilihitaji wabunge 20 tu kusaini na simple majority kumtoa. PM ndio theluthi mbili na Rais. Tuangalie tena na sina hapa katiba toleo la mwaka 2005
Oh! Mnaendelea na VIRAKA. Iandikeni upya. ipo siku kiraka kitakaa juu ya kingine!
 
Oh! Mnaendelea na VIRAKA. Iandikeni upya. ipo siku kiraka kitakaa juu ya kingine!


Ha haha hahahh. Tayari kuna viraka juu ya viraka ingawa ni katiba changa kabisa.

Mwakani Februari tunaweka viaraka vingine katika nafasi za wabunge ili kuongeza wabunge kufikia 360 kama kikomo na kuongeza wabunge wa viti maalumu kutoka 75 mpaka 116.
 
Tangu hii ripoti ya Mwakyembe itoke ni muda gani mpaka leo eti RA anataka iundwe tume huru kuchunguza kama anahusika Je siku zoote alikuwa wapi? Na je alikuwa haudhulii vikao vya chama kuweza kutoa mapendekezo hayo?

Hii ni kahadaa wananchi na ufisadi wao usioisha. Na je kama wameshafanya mbinu ya kusuka kamati ili ioonekane kamati ya ripoti ya Mwakyembe ni fake hapo siwanataka kuhadaa umma.
 
Ha haha hahahh. Tayari kuna viraka juu ya viraka ingawa ni katiba changa kabisa.

Mwakani Februari tunaweka viaraka vingine katika nafasi za wabunge ili kuongeza wabunge kufikia 360 kama kikomo na kuongeza wabunge wa viti maalumu kutoka 75 mpaka 116.
Whistling!
 
Ha haha hahahh. Tayari kuna viraka juu ya viraka ingawa ni katiba changa kabisa.

Mwakani Februari tunaweka viaraka vingine katika nafasi za wabunge ili kuongeza wabunge kufikia 360 kama kikomo na kuongeza wabunge wa viti maalumu kutoka 75 mpaka 116.
Mnaongeza tena WABUNGE! Kwa uchumi gani tulionao? Hatuna madarasa, sekondari za Kata ni vichekesho,....tuliache hili sio mada husika.
Kuna Mbunge mmoja Uganda nadhani alijiuzuru Ubunge baada ya kuona Bunge lenyewe ni kichekesho.
 
nchi imeshauzwa..ipo mikononi mwa RA na jopo lake, hata Kikwete na tabasamu lake hafurukuti..

wabunge nao waliochaguliwa 'kihalali' ni wachache, wengi wamemwaga pesa ili kufika hapo walipo, ndiyo maana ni rahisi kununuliwa na mafisadi..

kwa hali hii kuchapana makonde huko mbele haitakuwa jambo la kushangaza..

Umesema kweli. Kwa sasa hivi hatuna raisi wa nchi ndio maana hawa watu wanaongea kwa jeuri. JK nae kwa upeo wake mdogo anafikiri yuko salama pale ikulu huku ana kina Sofia na Rweyemam!!!, vibaraka wa RA. Asishangae siku moja akafungiwa nje ya gate na tusifanye kitu chochote tukajikuta RA amechukua state. Kwani tunayoyasikia nchi nyingine yanaanzaje???
 
Yaani tutumie mamillioni ya kodi kwa ajili ya kutafuta Rostam ajiuzuru! mbona hiki ni kichekesho. dah! Rostam ...

Gharama za utawala wa sheria ndio kama hizo, Maghufuli alikuwa anatumia hadi milioni 700 kuhifadhi samaki wake ili sheria ifuate mkondo wake. Kama na yeye ni raia anahaki ya kupatiwa haki mbele ya sheria kwa gharama zozote serikali inazoweza kulipia. Pamoja na uchafu wake bado anahaki mbele ya sheria kama walivyo na haki mbele ya sheria wauaji wa albino.
 
JK: Political noises dog projects

DAILY NEWS Reporter,
5th November 2009


POLITICAL bickering and the global credit crunch undermined implementation of some development projects, President Jakaya Kikwete told an economic conference in Dar es Salaam yesterday.

President Kikwete said at the Second Business Roundtable for Tanzania, that the government was recently forced to intervene in the Kiwira Coal Mine 200MW power generation project, to restore confidence of investors who were scared away by political "noises."

The president said Tanzania was striving to build its capacity to generate surplus electricity, well beyond the national demand.

"We don't have any surplus power and once a plant goes off for any reason there is a problem," he said. Mr Kikwete said Tanzania, like many other countries, was adversely affected by the global credit crunch.

He said the country's export earnings severely nose-dived, tourist arrivals declined and various investment projects were either suspended or called off altogether, giving examples of a multi-billion dollars aluminium smelter in Mtwara and a gas-to-electricity project.

Tanzania's economic growth, he said, slowed down in the wake of global recession from an average of 7.0 per cent between 2002 and 2008. Latest projections put the growth rate in the region of 5.0 per cent.

He told the roundtable organised by the Economist Group, that the government drew stimuli measures to salvage the situation, including protection of financial institutions and traders exposed to adverse effects of the highly contagious economic meltdown.

Responding to concerns raised during the First Business Roundtable for Tanzania held in Dar es Salaam last year, including poor performance of the Dar es Salaam Port, lack of skilled labour, bureaucracy and corruption, Mr Kikwete said there was significant improvement in many areas.

The president said various measures have been taken in the anti-graft crusade capacity building of law enforcement organs and strengthening of the anti-corruption bureau.

He said there were many cases currently pending in courts, but admitted that the war against corruption was complex and needed local and international co-operation which was sometimes not readily available.

"Investigations may sometimes involve people, companies and institutions outside the country, for purposes of collection of evidence that is enough to clinch a conviction. This may sometimes be very difficult," he said.

He said there were cases involving external interests, picking importation of radar from a British military equipment manufacturer as an example.

The president said performance at the Dar es Salaam Port has improved and more efforts were going on to improve the country's business competitiveness, removal of redtape and unnecessary bureaucracy.

Tanzania Ports Authority (TPA) Director of Marketing, Mr Flavian Kinunda, told the roundtable that dwell-time of cargo at the Dar es Salaam Port had improved from 23 to around 12 days.

He, however, said operations of the port were frustrated by low uptake of cargo, due to poor railway network linked to the harbour.
 
Upuuzi mtupu! akajiundie hiyo kamati mwenyewe na atumie zile pesa za ufisadi kugharamia. Ama kwa hakika huyu ametueleza wazi kuwa yeye ndiye mwenye nchi. Ametishia kujiuzulu maana anajua chama chake kitashtuka kumkosa, aibu kubwa kwa nchi yetu!

Chama hiki sasa kinapagawa jumla, narudia kuwa Bunge hili la Novemba ndilo litakuwa pima jato ya siasa zake Tanzania na uchaguzi ujao ndiyo utakuwa mwamuzi.

Chama sasa kimefanana na boti lililopasuka abiria wanahaha kutafuta namna ya kuliacha lizame lakini wengi hawajui kama watapona baada ya kurukia majini. wengi wamechukua nafasi pembezoni ili litakapopinduka tu wawe wa kwanza kurukia majini. Wengine roho ngumu wanakazana kuchota maji kwa kasi ili kulinusuru boti, lakini maji yanazidi kujaa. Wengine wanapiga kelele hovyo na kutishia kuacha kurekebisha mitambo maana mitambo imetoka kwao! na mikoba na funguo za sefu wanazo wao!

Inataka mtu safi kukinusuru hiki chama, lakini atatokea wapi? mfumo mzima wa kupata viongozi kwenye chama chenyewe ni wa kifisadi fisadi hata viongozi wake wa ngazi za chini ni vifisadi fisadi vidogo vidogo. Chama kilikuwa cha wakulima na wafanyakazi sasa kimekuwa cha mafisadi na wafanya biashara haramu, wala nchi na wauza nchi wasiowajali walalahoi. Mafisadi na wafanya biashara haramu hawa wamegundua namna ya kumdhalilisha maskini mlalahoi, wamamfuata kipindi cha uchaguzi na kumtupia makombo yao ya ufisadi na biashara zao haramu.
Laana ya siasa hizi chafu sasa inatimia.
 
Ha haha hahahh.
Mwakani Februari tunaweka viaraka vingine katika nafasi za wabunge ili kuongeza wabunge kufikia 360 kama kikomo na kuongeza wabunge wa viti maalumu kutoka 75 mpaka 116.

Mh. Zito please don't do this. Hawa wabunge wa viti maalumu wengi ni mamluki na mnavyozidi kuwaongeza mjue mna punguza nguvu ya wabunge wawakilishi wa majimbo linapokuja suala la ku-vote.
 
The next step wataleta hoja ya ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na Spika; Sitta ataondoshwa (kwani wabunge kadhaa watapangiwa visema kule nje na kura itapigwa). Akiondoshwa atawekwa Spika wao (jina tunalo) ambaye ataridhia maombi ya kina RA na Sofia. Ndipo tume wataiunda wao na kina RA na EL watasafishwa rasmi kwa kutumia utaratibu wa kibunge na hivyo maamuzi kuwa legally binding.

Tayari kwa karibu wiki kadhaa sasa pesa imetembea Dodoma kwa ajili ya jambo hili na kwa ajili ya kupata support ya wabunge. Novemba 7 ni siku muhimu kwa ajili ya hili.

Hili haliwezi kutokea asilan. This is not the most oportune moment. King Maker is very powerful but he is not bright. Ile move ya NEC kutaka kumyang'ana kadi ingefanikiwa CCM, ingemegeka, kuna wenye busara ndani ya NEC waliliona hili na kulizua.

Hivyo Salama ya Sitta NEC sio kwasabu anapendwa sana, bali sababu pekee sio wakati muafaka. Na baada ya hapo wakamtuma Makamba kwenda kumuangukia na kumlamba miguu ili kumchuuza CCM inamuhitaji. Sababu hizo hizo ndizo zitamsaidia Sitta asienguliwe at least not now.

Ila kama ni kweli, RA ndiye king maker aliyemuweke JK pale alipo, then for sure, Sitta has to go, what come out may. Hii inawza kuwa pia sababu ya Sitta kutafuta fedha ili washindane kwa pesa, na huko ndio playing ground ya RA.

MASIKINI SAMWELI SITTA NA MAKAMANDA WAKE - Money Talks!.
 
.
Kwa vile jamaa ni king maker, hili ombi la tume huru ni zuga ya kujisafisha, he is there to stay to make the 2015 king!.

Mkuu Pasco,

RA ameonyesha ni kwa nini Six anamchukia EL na kwamba ndicho chanzo cha tume ya Mwakyembe. Mbona hajaeleza chuki kati ya Six na yeye imetokana na nini?

Kwangu mimi, hii ni hadithi ya mfanya maji haachi kutapatapa.

Tiba
 
Mkuu Pasco,

RA ameonyesha ni kwa nini Six anamchukia EL na kwamba ndicho chanzo cha tume ya Mwakyembe. Mbona hajaeleza chuki kati ya Six na yeye imetokana na nini?

Kwangu mimi, hii ni hadithi ya mfanya maji haachi kutapatapa.

Tiba


You are very wrong. It is more to that. Line up towards 2015. Hafi maji yule, japo kwa sasa!
 
You are very wrong. It is more to that. Line up towards 2015. Hafi maji yule, japo kwa sasa!

Mkuu Zitto,

Yaani RA naye ana line up towards 2015? Naomba mwenyezi Mungu asiniache hai kushuhudia matusi haya yakitokea!!!!

Tiba
 
Thank You hakuna sababu ya kutumia mabillioni wakati ukweli upo wazi... AONDOLEWE!

Lakini mimi nadhani Rostam anaitaka CCM iunde kamati ya uchunguzi kuthibitisha ya Mwakyembe sio serikali. Kama CCM ikifanya hivyo itakuwa shauri yao. Ila matokeo ya uchunguzi kama huo ni rahisi kutabiri: Watasafishwa!
 
Mkuu Zitto,

Yaani RA naye ana line up towards 2015? Naomba mwenyezi Mungu asiniache hai kushuhudia matusi haya yakitokea!!!!

Tiba

kwa hiyo bora ufe hata leo ili RA asiendelee kuwepo? I hope God is not in the listeni mood right now.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom