Kijana wa China atengeneza kazi za sanaa ya kukata karatasi kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina wa Sungura

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,010
1,036
Kijana wa China Chang Yangyang, ambaye ni mrithi wa utamaduni usioshikika wa China anaonyesha kazi zake za sanaa ya kukata karatasi zinazohusu mada ya Sungura katika kukaribisha Mwaka Mpya wa Jadi wa China wa Sungura.

VCG111418031171.jpg

VCG111418031174.jpg

VCG111418031176.jpg
 
Kweli kabisa achana na waimba mizimu wanaibia watu makanisani.
 
Back
Top Bottom