Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Anaweza kulelewa vizuri lakini akaharibika ukubwani. kwaushawishi wamashoga .wapo watamwambia unakazi unahelazako unamnyenyekea mwanume wanini shoga tukae tunywe bwana .wapo wengi sana wameharibika .kiufupi mwanamke mwenye kipato nijangatu .mnaweza kuowana mkaishi pamoja,, lakini ndoa siku zote inachanga moto yake,,, ila kabla ujafanya uwamuzi wa kuowa , tafuta girl ambaye unaona huyu 2taishi kwa amani ana hofu ya mumee, hekima, bisara, na hofu ya mwenyez mungu, pia aliye tayare kukubaliana na aina tatu za family ,,
familia ya wazazi wako , anapotoka yeye na ile mtakayo iyanzisha nyie wawili.
ndo za zamani zilidumu kwasababu kuu moja,, kwanza kabisa mwanamke awe na kipato asiwe nacho hawezi kuwa kutoa sauti kwa mmewee ,, hasa kutokana na jinsi alivyo lelewa katika maadili mazuri,, atampenda mmewee pia nilazima amtii kwa chochote
kwasasa mwanamke awezi kuvulia mateso au vimbwanga vyovyote vile kwa sababu ya kutokuwa na maadili na hasara za mazoea ndani ya nyumba,,, mkimfokea nayeye anafoka, ukilala nje na yeye analala,,
N:B,, kutojishusha na kujifanya mjinga,, ndo source kubwa ndoa nyingi kuvunjika. lkn MTAZAMO WANGU