Kijana: Kulelewa na mwanamke uwe mvumilivu

Msingi kiuno ilikuwa awamu iliyopita sasa hivi lazima mwanaume ugangamale aisee
 
Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu
Hahahaha umenikumbusha nyimbo moja unaweza kudeki bahari leo ndo nimejaa maana yake
 
Inataka moyo wa chuma. kulelewa aisee nayasema haya kwa uchungu ulioptiliza vijana wanaangamia na hakuna NGO ya kuwatetea wanaishia kupigwa makofi, matusi n.k
cc. Chinga Hamonz
 
Vijana tutafute maisha hakuna utumwa mbaya kama wa ngono hao wanawake wa hivyo wenyewe wameisha jichokea ujana wao walitafuna na wengine wewe anakwenda KUKUFUJA tu wala hana malengo nawe zaidi ya kumtimizia haja zake za mwili na haina uhakika siku akichomoza kijana mwingine imekula kwako tufanye kazi jamani.
 
Hii thread inanikumbusha nilipomaliza chuo na kutokuwa na ajira for 1 year wakati wife wakati huo kapata ajira.
Aisee nilikuwa sina amani kabisa maana ndio alikuwa mfadhili. Mungu saidia alikuwa mwelewa asiye na masimango. Asingekuwa hivyo sijui kama tungefika.
Mwanaume tafuta, hela ya mwanamke iwe ziada.
 
Dayamondi kiuno anazungusha na kazi anapiga. Bi mkubwa pale hapindui tena. Ww kazi Huna, Elimu nayo huna. Ubbbboo una KIBAMIA kwa nun usiggongewe?
 
pesa ndio kila kitu wakubwa hata ukitaka kutafuna sisteri wa kilemba kama unayo keshi hakuna shida
 
watu wazima aisee inabidi uwe na busara za kilokole kuwamudu vinginevyo utaishia kuwapiga makofi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom