Binafsi nawaheshimu wanawake kwa midomo yao, maana kwa kweli siku umemtibua utajua yote yaliyomo mioyoni mwao.si lazima azungumze aya! Anaweza kukupa neno moja tu au sentence moja akazungumza ndani ya sekunde 20 tuu!
WCB wameanza so wacha vijana wafuate nyayo zaoKwa maisha haya magumu ya Anko Magou tutarajie vijana kutangaza ndoa na vikongwe ili kulainisha maisha
mkuu vp hupend mtu adeki bahar yako???Ndio maana vijana wa siku hizi wanababuka midomo maana wanavyodekishwa bahari yenye chumvi kali kuliko ya india kutwa mara saba yote kupenda vya bure mxiuuuuuu