TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 25,219
- 11,656
Wow, i like this analysis... ndio raha ya JF; lakini kimoja tuelewe siri zozote za adui yako zikiwa hadharani basi wewe zishangilie hata kama yeye alikua anatafuta sifaHuyu kijana ni political strategist kwa kushirikiana na kundi fulani. Barua yake ililenga kushawishi wabunge kumchagua katika kamati ya Nishati na Madini. It was a planned and well calculated move kuweka mtu wao katika sector hiyo nyeti. Nadhani mnakumbuka Idelogical Weapons za Masifadi (New Habari Corporation) zilivyopaisha barua hiyo siku chache zilizopita. January hawezi kuwa na utaofauti na Babayake, Lowassa, RA na JK. Subiri mda si mrefu mtaona.
Kumbuka katika bunge lililopita Wizara Ya Nishati na Madini ikiongozwa na W. Sherukindo ilikuwa mwiba sana kwa serikali hasa katika hoja ya Richmond.