Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Kuna watu humu kipindi mgao umetamalaki kila siku kulikuwa na kelele dhidi ya January Makamba mara mpigaji mara anauza majenereta.
Kwenur kupanda bei ya mafuta pia maneno hayakupungua.
Tulio na siasa safi tusioangalia mtu tuliposema shida sio makamba wale jamaa zetu roho mbaya fc walituona kama tumelipwa kumtetea makamba
Sasa makamba katoka, mtu waliyesema wa makamba maharage chande katoka na hadi bodi imetoka ila shughuli ipo paleplale
Kikubwa zaidi home boy wa jamaa zangu ndo kapewa Wizara na cheo cha Naibu PM juu ila shida ziko palepale
Sasa wale ndugu zangu mliokuwa kila simu mnaanzisha nyuzi kuhusu January Makamba swali langu kwenu. Je bado mnasmini tatizo la umeme shida ni January au akili zimewakaa sawa?