Kiherehere noma!

KIBOD3

Senior Member
Sep 11, 2016
125
176
Kiherehere noma!
Jamaa kaenda ukweni kakaa nje barazani akaona kuku kakamatwa, akaropoka; "msiweke mchuzi, akaangwe tu". Mama mkwe akajibu; "Huyu kuku anaatamia baba, wala hachinjwi. Amekamatwa apewe chanjo tu". Jamaa kimyaaaaa!
 
Back
Top Bottom