magistergtz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 282
- 56
Ktk utetezi wake ni kwa nini hakusain hoja ya Zito, Kigwangala anadai ccm ni chama chake na hivo kusain hoja ya Zito ni sawa na kukata tawi ulilokalia. Maana ya kauli hii ni kwamba:
1. CCM imembeba na inaendelea kumbeba kigwangala. Ndo maana bila shaka alishindwa kura za maoni lkn ccm ikamteua
2. Kigwangala hajiamini. Ndo maana haoni maisha bila ccm.
3. Kigwangala haamini ushindi wake, anaju anajua bila kubebwa na ccm wapiga kura wake hawatomchagua
Mungu ibariki Tanzania, iepushe na wabunge kama hawa.