Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,423
- 2,273
Ule wimbo wa Wagosi wa Kaya (Tanga kuna nini)ni mfano mzuri wa maelezo yako...Naijua Tanga vizuri sana. Tanga ya miaka 60 na 70 siyo Tanga ya leo imerudi nyuma sana kimaendeleo maana wakuu wameamua kuitelekeza.