Kigoma kunatisha; Majambazi yapora kila kukicha - Mwema upo?

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Wana Jf.

Kuanazia siku ya alhamisi Kigoma si mahali salama hata kidogo. Kuna kundi kubwa la majambazi yanavamia maduka na sehemu za sitarehe na kuiba kila kitu. Tena wanaiba kuanzia saa 3 usiku tu.

Cha kushangaza jeshi la Polisi ni kama halipo kwa sabab majambazi wenye silaha kali yanavamia na kuiba sehemu zaidi ya 10 kwa usiku mmoja. Sisi wananchi tunashindwa kuelewa na maswali sasa ni mengi je? Polisi wanahusika?.

Tunaomba aliye karibu na IGP Said Mwema ampe taarifa hz. Kigoma si salama kabsa maduka sasa hv yanafungwa saa 1 jioni.
 
Hii ni changamoto nyingine ya mfumo ulioundwa na chama tawala. Sijui tutafanya nini. Hata kuwapa pole haiwasaidii. Kwanini msifanye kama wenzenu wa Songea walioamuka kwenda kwa Kamanda wa POlisi wa Mkoa. Nadhani RPC yuko karibu yenu zaidi kuliko IGP!
 
Wana Jf.

Kuanazia siku ya alhamisi Kigoma si mahali salama hata kidogo. Kuna kundi kubwa la majambazi yanavamia maduka na sehemu za sitarehe na kuiba kila kitu. Tena wanaiba kuanzia saa 3 usiku tu.

Cha kushangaza jeshi la Polisi ni kama halipo kwa sabab majambazi wenye silaha kali yanavamia na kuiba sehemu zaidi ya 10 kwa usiku mmoja. Sisi wananchi tunashindwa kuelewa na maswali sasa ni mengi je? Polisi wanahusika?.

Tunaomba aliye karibu na IGP Said Mwema ampe taarifa hz. Kigoma si salama kabsa maduka sasa hv yanafungwa saa 1 jioni.

Mkitaka kuwaona vijana wa Mwema itisheni maandamano kwa jina la CHADEMA. Taarifa za kiinteligensia zitatoka ndani ya dk 2 baada ya kutangaza maandamano.
 
Wana Jf.

Kuanazia siku ya alhamisi Kigoma si mahali salama hata kidogo. Kuna kundi kubwa la majambazi yanavamia maduka na sehemu za sitarehe na kuiba kila kitu. Tena wanaiba kuanzia saa 3 usiku tu.

Cha kushangaza jeshi la Polisi ni kama halipo kwa sabab majambazi wenye silaha kali yanavamia na kuiba sehemu zaidi ya 10 kwa usiku mmoja. Sisi wananchi tunashindwa kuelewa na maswali sasa ni mengi je? Polisi wanahusika?.

Tunaomba aliye karibu na IGP Said Mwema ampe taarifa hz. Kigoma si salama kabsa maduka sasa hv yanafungwa saa 1 jioni.
Nimesoma kwenye gazeti leo kuwa hao 'wajasiriamali' wameendeleza ubabe wao hadi huko Rukwa kwenye kijiji cha Kibaoni, nyumbani kwa waziri Mkuu Pinda. labda sasa polisi wanaweza kuchukua hatua
 
Tatizo la uhalifu limezidi kuongezeka nchi nzima wala siyo Kigoma pekee, ukichunguza DSM ambapo ndipo wakubwa wote wa nchi hii hulala akiwemo IGP, ndipo pamekithri kwa uhalifu tena kuanzia katikati ya jiji hadi vitongojini, wizi wa magari na vifaa vya magari umekithiri huku wezi wakionekana wakiwa karibu na wezi badala ya raia...mikoa yote ya kipolisi
imedorora, kasi ya uhalifu inaongezeka. Namshauri JK alifanyie marekebisho makubwa ya kimuundo Jeshi hilo awaondoe viongozi wakuu yaani IGP na makamishina wote wanne, wameshindwa kazi...labda atalisaidia kuondokana na kashfa zinazoliandama. Lakini muhimu sana akaacha kulitumia kudhoofisha upinzani (Jeshi la Polisi lijitenge kabisa na siaisa).
 
kumbuka kuwa kuna majambazi wanashirikiana na polisi kwenye kila hatua
...You have said it all....Kigoma hata RPC Kashai aliwahi kushutumiwa kuwa hata magari ya polisi yanatumika kwenye uhalifu so sishangai kwa huu ujambazi unaoendelea huko polisi kuwa kimya.
 
Mwema na walioko chini yake saa hii wako busy kupanga mikakati dhidi ya uchaguzi wa arumeru east,polisi hawako kulinda mali za wananchi tena polisi ni wanasiasa na magreen guard wa CCM
 
Back
Top Bottom