Kigezo cha Miss Tanzania ajue English,mbona Miss World hajui English?

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
kigezo anachotumia lundenga kwenye miss Tanzania lazima miss ajue english,mbona miss world wa sasa kutoka Venezuela ajui english,je tz tunakosea kutumia kigezo cha english tu?
 
Bongo atakichaa akiongea kithungu watu watamsifia na kuzusha maneno kalogwa watu wamemuonea wivu.akipita anae cheka cheka na kuokota makopo utasikia mtambo uwo au bange imepanda kichwani.but all in all wote ni machiz
 
Huwa wanapewa nafasi ya kuchagua,wengine huwa wanajibu Kiswahili.
 
Hicho kigezo kiliwekwa ili tukishindwa tupate cha kujitetea. period
 
kigezo anachotumia lundenga kwenye miss Tanzania lazima miss ajue english,mbona miss world wa sasa kutoka Venezuela ajui english,je tz tunakosea kutumia kigezo cha english tu?
wajinga wa hao, hawajui walifanyalo ovyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tutabaki kushioka tu mkia, waste of money and time. well said mdau
 
ni kweli katika washindani 133,miss salha wetu kawa wa 129????hehehehe kwi kwi not bad lol
 
ni kweli katika washindani 133,miss salha wetu kawa wa 129????hehehehe kwi kwi not bad lol

Amejitahid ku maintain standard za nchi, manake kimaendeleo tz si ni tatu, sijui ya 4 kutoka mkiani
 
ni kweli katika washindani 133,miss salha wetu kawa wa 129????hehehehe kwi kwi not bad lol

Ktk mpira wa miguu nako tupo nafasi kama hiyo.kufanya lugha ya watu wengine kuwa kigezo ktk mashindano yetu ni ulimbukeni wa waandaaji na elimu duni ya waandaaji pia
 
Anaongea Kispniola lugha ya watawala wa dunia enzi hizo kama ilivyo English na French. Kiswahili kilitawala wapi? Wenye mashindano wameweka hivyo. kama huwezi go away na swahili yako. kwani lazima ushiriki?
 
Back
Top Bottom