jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
Uoza na uvundo wa Gembe
YEP...Akishirikiana Pamoja na MAFISADI WOTE WENYE KUTAKA KULIGAWA TAIFA KWA MISINGI YA DINI NA UKABILA!
HAO KWELI NITAINGIA MSITUNI KWA AJILI YAO!
Uoza na uvundo wa Gembe
Familia ya kina Wangwe haijaridhika na maelezo ya kifo cha Wangwe. Hiyo ni kwa mujibu wa Prof. Wangwe kaka wa Marehemu.
Tunaomba pia tuwekewe na taarifa walizozitowa siku daktari wao alipofanya upasuaji na familia pamoja na mwakilishi wa chadema kutowa kauli kuwa ilikuwa ni ajali na hakuna risasi...Hizi ni siasa ama serious issue?
Nini kinawafanya watu wanabadili mawazo haraka haraka hivyo wakati marehemu keshazikwa kama si siasa hizi?
Ama amebadilishwa mawazo na forum hii?
Je wanataka uchunguzi HURU WA NJE? Maana si waliridhika walipoambiwa kuwa daktari wa nje hawezi kuruhusiwa?
Maana hata mimi nilishangazwa sana na kuridhika kwa familia hiyo juu a mazingira yote a kifo hicho.
Kaazi kweli kweli....
Ndugu yangu Sikonge maneno hayo hapo juu ni mazito sana...Kusema ukweli tutafutane ndugu yangu...Wewe ni mtu mwenye akili mingi sana wanafiki hawataki.
Mimi nimepunguza kasi ya kuchangia lakini kwenye mijadala sivuki posting yako hata siku moja.
Moja tu ulighafilika kuhusu wachagga...
Hili halina maana kuwa machango wake Ushushwe na watu wenye chuki mbaya kama Gembe.
Familia ya kina Wangwe haijaridhika na maelezo ya kifo cha Wangwe. Hiyo ni kwa mujibu wa Prof. Wangwe kaka wa Marehemu.
Mushi,
Mie nipo bwana. Nipo sehemu sehemu kama vile Sikonge kwenyewe. Nikija zuka USA may be tutaonana. Ila sipendi sana fujo za pale ubalozi wa USA kwenda kuwapigia magoti kuomba VIZA.
Juu ya MADA ya Wachaga ni kwamba HUKUNIPATA. Mie mwenyewe niko WILAYA za watu, itakuwaje nichukie Wachaga na kusema UKABILA. Wakinisikia SKINHEAD basi itakuwa haki yao waniSURUBU. Nililoongelea ni hili ambalo RA alitaka kulitumia na kuleta MAPIGANO huko Tarime/Moshi ila sema nilisimama upende wa pili kuliongelea hilo.
Hapa tupo wote kuelekezana. Hakuna mwenye busara kuliko wengine. HAta mie huchemka sana tu, na tena wakati mwingine kwa makusudi. I like JOKES anyways hasa zile ambazo zinamuelezea Mtu X au Y.
Juu ya Gembe, Kasheshe na Mgagagigikoko, MkamaP nk hawa jamaa nina heshima sana nao. Unajua kwenye ujenzi, unapodesign nyumba huwa kuna factor fulani inabidi uzifikirie. Kama vile Moto, Mafuriko, Upepo, Mvua , Matetemeko na kwa Wengine wao pia wana hadi SNOW. Sasa hizi huwa challenges. Bila ya hizi kuwepo maisha hayana radha. Unaweza kukuta hawa mabwana ni wapinzani kweli kweli kuzidi sisi. Ila kuna watu wana asili ya kujiweka katika kundi la wachache na au kufurahisha watu au kutibua na hata kuwaelimisha. Wanafanya kwa makusudi au bahati mbaya au vyote pamoja. Bila ya hawa, mijadala yetu isingelikuwa mirefu namna hiyo. JF ingelikuwa kama chama cha TANU. Ukisema tu mimi Kambona, wanaku-chop.
Gembe na wenzako, mnafanya kazi nzuri tu. Tofauti na RA ambaye yeye hujificha katika migongo ya WAHARIRI. Pia kibaya yeye hana challenges kama zenu hapa JF na anaongea na kundi kubwa na MAMBUMBU kama hao ndugu zangu wa IGUNGA. Inawezekana angelikuwa hata wa Sikonge. Siye Wanyamwezi bado tuko nyuma sana. Nikilalamika ki-aina, Mushi anaweza kufikiri nina UKABILA. Ila kwetu huko jamani, utafikiri Mtemi Mirambo ndiyo kafariki mwaka juzi. Kama huamini nenda uulize wapi ISELAMAGAZI ya Sungusungu na maana yake huko Tabora.
kama daktari kutoka kenya hakuweza kuingia bongo sembuse hao scotland?
MKAMAP inakuwaje leo tunakubaliana...Ama kweli this issue ni very serious...Lakini i am OPIMISTIC.
Jmushi1,
Tunaelewa sasa Tanzania tutawayawaya, kama CHADEMA itatokomea, sijue twende wapi sasa, nadhani tutabaki kama makinda ya ndege, unajua Jmush1 haya mafisadi yana tactic za kutisha sijui itakuwaje
Jmushi
hua tunakubaliana mara nyingi ila tofauti yako na mimi ni kua ,hapo awali ulikua na elements za kua kuna chama ambacho kinatetea haki na kinawatafutia Ufunuo wa kweli watanzania.
Wakati mimi msimamo na miono yangu ni kua jogoo ni lile lile ila limepakwa rangi kichwani na Bado mkombozi wa kweli hajapata kuwapo, wengi wa hao wanaopiga paragumu wengi wao ni mbwa mwitu wamejifunika ngozi ya kondoo .Mcungaji mwema wa kondoo ,kondoo humtambua na kuwafungulia na kupita ktk mlango,Lakini mchungaji asiye mwema huruka zizi na kondoo hutawanyika kila mahala wasifuate mlango wakutokea,maana kondoo watambua huyu si mchungaji mwema.
WAAFRIKA WAKWELI WENYE NIA NZURI NA AFRIKA MNAWAJUWA...Nyie msibaki kwenye propaganda za vyama kabisa...Na ndio maana ni muhimu mpiganie wagombea binafsi...Kwani inawezekana wakawa na mawazo mazuri toka BOTH parties kwasababu UHURU WAO HAUTAWABANA NA MASLAHI YA CHAMA!
Ni lazima msiwe wafuata mkumbo ama mashabiki tu.
Wekeni sifa za kiongozi ajaye na yale tunayotaka viongozi we watufanyie...Baada ya hapo ni rahisi sana kutafuta yule anaye fit kwenye hizo qualifications za UZALENDO.
Je? kwa wakati huu ambapo mgombea binafsi ni sawa na uhaini nini kifanyike?
Wote wakae kimya na kuachana na vyama?
Nani atasema na atalipigania wapi kama wote wakiwa hawamo miongoni mwao?