bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,667
Clemens Matanga ni kijana wa miaka 22 tu aliyekuwa Israel akitafuta Elimu yake kwa ajili ya kulisaidia taifa na familia yake kwa ujumla.
Bahati mbaya tarehe 7/10 alitekwa na magaidi wa Hamas akiwa kwenye shughuli zake za kila siku, bahati mbaya sana Mtanzania mwenzetu amekutwa amefariki huko Gaza baada ya kuuliwa na magaidi wa Hamas kuna wale Pro Hamas watakuja hapa kusema kijana wetu naye alikua askari wa Israeli
Mbaya zaidi kuna watanzania walitaka kuandamana kuwaunga mkono magaidi wa Hamas kwa kitendo walichokifanya natumai wakiona hili bandiko kama ni watu wa majuto watajuta na kuomba Toba, badala waandamane Watanzania wenzetu waachiwe huru wao wanaandamana kuwaunga mkono Magaidi ni maajabu.
Niipongeze Serikali kwa hatua walizochukua dhidi ya maandamano yale. Nipende kuwakumbusha gaidi hana rafiki hata siku moja sio ajabu gaidi akaua hata familia yake kwa kigezo cha mafundisho makali.