Kifo cha Clemens Matanga na bado kuna Watanzania walitaka kuandamana kuwaunga Mkono Hamas

Uongo kama huo unatakiwa utupe tukiwa tumeshiba ugali na senene kijiweni.Ujinga wote mnawasingizia USA na Israel!🤔
Mkuu tunakutana katika mijadala mingi humu, mimi sio mtu wa kuokota taarifa mtandaoni, tizama hamas ilianza vipi kwenye historia hao mossad wenyewe ndio walianzisha, na kibao kimewageukia baadae.
 
Back
Top Bottom