Kifo cha Clemens Matanga na bado kuna Watanzania walitaka kuandamana kuwaunga Mkono Hamas

hivi waislam why mnafurahia kifo cha mtu?? mmeumbwa na roho gani nyie wenzetu?? mnajifunza dini ipi inayisema kufurahia kifo?? huoni aibu wewe kuandjka haya?
Hakuna sehemu ninefurahia chunguza ndugu.


Hamas probably wamemuuwa ila sio kama mateka ni walipopiga bomu na mwili umegundulika labda baada ya kuchambua maiti....Hakuna sehemu nimetetea Hamas ila nimekataa kwamba katekwa halafu akauliwa ..


Maiti ni nyingi kwa Palestine na wachache kwa israel ila israel wanatumia teknolojia kuwatambua maiti ,kwa wanajeshi ni rahisi na haraka kuwatambua kwa sababu wana vitambulisho kweny nguo zao na alama hata za majina ...Ila maiti zilizopigwa bomu na kuharibika wanatumia teknolojia kuwtambua mmoja badala ya mmoja.
 
Aisee hata soni huna kabisa hebu twende pole pole leo unapata faida gani kusapoti ugaidi wa Hamas? kijana wetu wa kitanzania alikua anajitafutia maisha kupitia Elimu magaidi unaowasapoti na kuwatetea Hamas walimkamata kwa kosa gani?

Ila elewa giza ni giza tu na mwanga ni mwanga tu wewe endelea kuwasapoti magaidi wa Hamas kila mtu na achague mrengo wake.
Confirmation imetoka wapi?
 
huoni hata aibu kuuliza hili swali eti Jf home of great thinker sasa ishu nyepes tu kama hii hufahamu wewe ukiambiwa vaa mabomu kajitoa mhanga utashindwa kweli Hamas magaidi hawateka na kuua Waisrael tu
usipende kudandia mambo kwa mbele utapanda mtubwi wa vibwengo kama apo ushaingia kinyume nyume geto la popobawa

acha mwenye hilo swali ajibu kama anaweza maana anawatetea Hamas Ata kwenye hakuna

my question ilikua je Israel itaweza kufanya exchange ya palestine prisoners kwa ajili ya mateka ambao sio Raia wa Israel?
 
Kwa kutumia akili tu ,wale mateka wa kwanza waliachiwa ...Juzi kati walikubaliana kuachia mateka ili vita isiendelee .

Inakuwaje mateka aliyekamatwa kauliwa na nyie wana israel mjue kwamba kauliwa huku yule mwingine hamjui alipo ! Huyu ambaye kauliwa mlijuaje?

Huyu hakutekwa alikufa kitambo sana kweny mashambulizi na mjiandae kisaikolojia juu ya huyo mwingine.
Hujashirikisha akili
 
Back
Top Bottom