kumbe kwenye msiba ni sehemu ya kufanyia political analysis! Shame on you
aibu yao wenyewee ccm!
kumbe kwenye msiba ni sehemu ya kufanyia political analysis! Shame on you
ni kawaida siku zote marehemu upendwa na kwenye msiba mwenye nguvu ni yule mwenye msiba. Mimi nadhani kama alivyosema Spika Makinda tusitumie misiba.
Mbona yeye analitumia Bunge kwa maslahi ya CCM watu hawalalamiki. Acha na wengine watumioe nafasi zao.
Huu ni wivu tu usio na maana.
RAIS Kikwete hivi karibuni alishuhudia Live kifo cha CCM yake kule Ifakara katika mazishi ya mbunge wa viti maalum chadema Rejia Mtema.
ni ukweli ulio wazi kuwa kutokan na picha ile jamani CCM bye bye.
kazi ilianza pale msafara uliobeba mwili wa Rejia Mtema, kufika Kilombero mkoa wa Morogoro, msafara huo uliokuwa ukiongozwa na spika wa Bunge ana makinda na baadhi ya mawaziri wengine wa serikali ya Jk akiwemo Stephan Wasira, njia nzima ilikuwa ji salamu za chadema , ilikuwa bomba la mtihani kwa wanaccm kuitikia salamu ile ama Laah, nadhani ndio maana hata wakati wa kuaga mwili wa mbunge wa CCM Solomon Sumari makinda alidai kuwa tusichanganye siasa wakati wa misiba, its True aliliona hilo lakini wale ni wananchi wapenda chadema,ki ujumla kilombero , ifakara ni ngome ya chadema,
Kipigo kingine kwa CCM ni pale makaburini ambapo baada ya mazishi Rais na msafara wake waliondoka , na alipoanza kuondoka DK Slaa wananchi walianza kuimba Rais Rais, na kuwaancha vinywa wazi CCM,
watanzania wa sasa hawana woga tena kama zamani, hivi sasa ukikosea unapewa Kubwa tu
pia Tukio Lingine ni pale mbunge wa wa CCM Abdul Mteketa alipozomewa Live mbele ya viongozi wa kitaifa wa CCM, jamani picha Hii yote imemdhihirishia wazi Jk kuwa kifo cha CCM kimefika.
Join Date : 3rd January 2012
Posts : 9
Rep Power : 304
Sikushangai kwani ni mgeni !
Mkuu hata ukiangalia walivyomuaga huyo mbunge wao aliyefariki hapo jana walifanya kuleta watu na kuwavika tshirt na kepu za ccm kama kawaida yao wakati cdm watu walienda wenyewe tena kwa cost zao
Join Date : 3rd January 2012
Posts : 9
Rep Power : 304
Sikushangai kwani ni mgeni !
watanzania wanazani siasa ni vyama vingi vya siasa.
Kauli ya Makinda ni ya busara zaidi, tukiendekeza siasa mpaka misibani uko mbeleni tutashindwa kuzikana. CCM na viongozi wa serikali kwa ujumla wameonyesha mfano mzuri kwa kujumuika kwenye mazishi ya Regia(RIP) bila kujali itikadi zao. Je wasingefika si watu wangesema CCM/serikali haiwajali wananchi wake waliopo kwenye vyama vyingine? Siifagilii serikali ya chama tawala lakini kwa ili nawaunga mkono.
Hivi unawaelewa vyema WATZ? kelekele nyingi sana mdomoni lakini vitendo sasa hakuna
tena ktk maeneo ambayo wala usipigie chapuo ya CDM ni Mkoa wote wa morogoro,wao wanatabia hiyo kama ilivyo humu Jf ya kuwa na maneno mengi lakini si wapiga kura
na kuhakikishia kuwa morogoro inahitajika elimu ya hali ya juu,sio tu kuja hapa na kuandika na watu kutoa maneno ukanadhani basi,ushindi unahesabiwa kwa kura na wala sio maneno mengi mdomoni
kama hamtafanya kazi ya ziada na mkakalia kuchukua kelekele za kushangiliwa ndio ushindi basi hapo mmepoteza mkuu,siasa haipo hivyo