fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,415
- 7,968
Nauliza wajuzi, hiki ni kinaitwaje na kina kazi gani, kwenye mapishi ya chakula masna nimekikuta kwenye seti ya vifaa vya mapishi niliyonunua
Hatimaye nimeelewa kazi ya hicho kifaa, kumbe ni cha kutengezea aina za mapambo kwenye maandazi yanapikwa kwa unga wa nganonauliza wajuzi,hiki ni kinaitwaje na kina kazi gani,kwenye mapishi ya chakula masna nimekikuta kwenye seti ya vifaa vya mapishi niliyonunuaView attachment 2829420
ni kweliKinaponda vitu laini pia kama viazi vilivyoiva.