Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

C wote wana vaa mavazi ya chadema ni chadema. Nadhani walio mvamia ni askari kwani ushahidi wa uniform C upo! Tumieni akili kujadili mambo ya msingi. Naamini C chadema wala askari bali ni wahalifu tu. Lkn kwavile ni mkubwa kaumizwa najua watapatikana tu. Ila ingikuwa ss walala hoi, Thubutu kama ungeona Kova anahangaika.WAJIBU WA KWANZA WA SERIKALI NI KULINDA VIONGOZI TU. Ukitaka na wewe ulindwe uwe kiongozi wa nchi hii.
 
umeulizwa hiyo siyo kombati ya mwigulu chemba ya mavi!?sasa na wewe akili yako na uwezo wa kufikiri umeanza kushuka kwa kasi bado kidogo unamfikia criss lukosi kwa kiwango cha ujinga....nyinyi ndio magaidi halisi wauaji na wangoa kucha na ndio mmepandikiza usikute hata hiyo kofia....
sasa hawa askari wajinga kweli hayo mafuta ya nivea na hayo mengine wameyaweka ya nini na hivyo viatu je!?hao majambazi wengine walikuwa peku au? na kama kuikuta nayo hiyo kofia na kuiweka hapo pamoja na mafuta ili kunetralise biasnes zao ilipaswa wawavue na viatu hao wengine na wavue na sutruali nazo waziweke hapo na id zao pia waziweke na vitanda vyao pia waviweke na kila kitu chao kama wameweza kuweka mafuta ya kupaka....sisiem ni mambwa kweli na hawa askari wao wala rushwa na majambazi.....rits tiririka basi kenge maji naona mmekamata mpaka mafuta ya kupaka mkadisplay na mmeshindwa kudisplay bangi na hiyo gongo...mtahaha sana
Rafiki zangu wa Chadema mtanisamehe kidogo nawapa ujumbe baadhi ya watu.

Chadema huu ni ugaidi mnataka kumuua Dr. Mvungi.
 
Kwa hiyo hawa majambazi wanaovaa sare za jeshi la police-CCM na kwenda kupora fedha benki,Basi tuseme jeshi la police ni la majambazi?huku JF siku hizi kuna GT na Makanjanja!
 
mazafanta mpost uzi,

Sasa mbona kuna kitenge hapo hausemi wanahusika? kuna maxmalipo, puma, samsung, nokia nivea vyote hujaviona? acha kutumika kama condom. mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Rafiki zangu wa Chadema mtanisamehe kidogo nawapa ujumbe baadhi ya watu.

Chadema huu ni ugaidi mnataka kumuua Dr. Mvungi.

Siasa hizi za kitoto zinapandisha hasira sana. Naona Kova yupo kazini. Kuna ajali ya treni ya mizigo imetokea jana Morogoro, ni Chadema, mvua zimechelewa kunyesha, ni Chadema, wanafunzi wameshindwa mtihani, ni chadema, Mwigulu Nchemba hajisikii kula leo, ni Chadema na Dar sasa joto limeanza, ni Chadema. Kova yupo kazini ila hii ni mbaya zaidi maana naona magamba wanataka kuusambaratisha ulioanza kuonekana umoja wa vyama vya CUF, Chadema na NCCR kuhusu katiba, basi.
 
Tanzania ndio nchi pekee ambayo kila Tukio linalotokea tunaingiza siasa za kichama.
Hatari saana!!
 
Hebu Watanzania tujaribu kuwa watu wa kufikiri juu ya haya yanayotokea nchini bila kuyajibu kwa ushabiki. Nimesoma comments nyingi za humu nikiamini kwenye kundi hili kuna watanzania wenye uwezo wa kutafakari kabla ya kurusha hizi comments.
Hatuwezi kutumia mda wetu mwingi kujadiri report ya Kova ambaye kimtazamo wangu naona amepewa jukumu asiloliweza kabisa huyu ni mtu anaepaswa kutumwa akatumie nguvu na si kumpa kazi za kufikiri.
Taifa letu kwa sasa halina jeshi la polisi lenye uwezo wa kufanya kazi za ki-intelijensia kabisa kilichopo ni uhuni mtupu.
Eti tunalumbana vifaa vya chadema...jamani kofia kila mtu anavaa,kombati za jeshi ...hii inamanisha huyu mwanajeshi baada ya tukio aliamua kuivulia pale hiyo kombati....mimi sidhani kama hii ilikuwa ripoti ya kutupatia sisi huyu Kova labda kaambiwa sema haya.
Kama CDM wahusishwa,Mvungi amekwaruzana nao wapi kwa msimamo upi?
Kama ni jeshi wapi Mvungi anashindana na serikali katika swala hili la katiba?
Naomba tujaribu kufikiri kidogo jamani tusije vuna ya Mkenya wa Ulimboka na ripoti za Kova hizi
Mwakyembe waziri wa serikali ya Jamhuri ya muungano wa watanzania alisha tamka wazi kwamba hana imani na jeshi la polisi ....I concur with him
Drama drama ilianza siku nyingi!!!?????? Unamkumbuka IGP yule aliyepaint majambia rangi ya chama cha CUF?? iliishia wapi? Unakumbuka Kova na matambo ya "tumemkamata mpigaji wa Ulimboka?" Unakumbuka ujinga wa polisi na jinsi walivyotaka kupitisha bomu la mkutanoni Arusha?!!
Ni akili finyu tu hata kudanganya inakuwa shida!!! Unajua ujanja hapa sasa watawapeleka watuhumiwa ambao siyo mahakamani halafu itakuwa MAKOSA KUZUNGUMZIA HAYO! hata ya Arusha utaambiwa yapo mahakamani aka Kangaroo courts zinazotumika kuficha maovu ili muda uende na siye wepesi wa kusahau tusahau kama kawaida yetu. HII NI KAZI YA DOLA ILIYOCHOKA!!!
 
attachment.php

Kamanda Suleiman Kova akiongea na wanahabari kuhusu wahalifu mbalimbali waliotiwa nguvuni na Jeshi la Polisi.

attachment.php

attachment.php

Baadhi ya vitu IKIWAMO KOFIA YA CHADEMA walivyokutwa navyo wahalifu katika matukio mbalimbali jijini Dar es Salaam.


WATU 6 wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa kuhusika na tukio la kumshambulia Dkt. Sengondo Mvungi aliyevamiwa na majambazi nyumbani kwake Kibamba Msakuzi juzi.

Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Selemani Kova amesema katika operesheni maalum iliyofanywa na jeshi la polisi, wamefanikiwa kuwakamata watu sita ambao majina yako yamehifadhiwa kwa sababu za usalama. Aidha Kamanda Kova aliongeeza kuwa bado hawajapata uthibitisho kamili juu ya sakata hilo na uchunguzi unaendelea kuwabaini wahusika halisi wa shambulio hilo.

Katika vifaa hivyo kimoja wapo ni kofia ya chadema ambayo ilikamatwa kwaajili ya uchunguzi zaidi pamoja na kombati za jeshi.

------------------

1014136_544275028973629_1408535758_n.jpg
Huyu ndiye mtuhumiwa namba
1014136_544275028973629_1408535758_n.jpg
 
Kwan kofia inauzwa pesa ngapi hadi mtu ashindwe kuinunua na kuvaa!?,kova anatengeneza muvi km Ile ya mahita na majambia yaliyosemekana n ya cuf.kova chadema wamejipanga huwawez ng'ooooooooooooooo
 
Kwan kofia inauzwa pesa ngapi hadi mtu ashindwe kuinunua na kuvaa!?,kova anatengeneza muvi km Ile ya mahita na majambia yaliyosemekana n ya cuf.kova chadema wamejipanga huwawez ng'ooooo
 
Movie mpya hii sokoni eeehh. ... Baada ya kumwombea dua ndugu yetu apate japo fahamu zake mamtu mazima na akili zao yanageuza malumbano ya kisiasa... Sheria ipo itafanya kazi ake
 
Lakini kofia ya chadema isiwe hoja. Vinginevyo kama lengo ni siasa. Nadhani taarifa ya usalama was polisi itaweka wazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom