Mhusika mkuu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 437
- 521
Mhh! Hayo magwanda si ya vjana wa Amiri-Jeshi mkuu au nmeyafananisha?
Chadema ni janga la taifa
kofia na rangi ndio ishara huku tulipo ukivaa fulana yenye rainbow tunajua wewe LGT bwabwa hatuulizi! Hapo kuna mahusiano makubwa tu!
Ukitumia akili yako vizuri utakuwa na busara... Kwa hiyo Ustaadhi ilunga aliyefichwa unataka tusemeje?Wangekuwa Waislam wamekamatwa na CD wangeitwa magaidi, sijui CHADEMA watasemaje Mungu mkubwa.
Hebu tuache hizi siasa zisizo na tija tafadhalini. Kofia ya chama chochote inaweza kuvaliwa na mtu yeyote.
Kwani balozi wa china naye alikuwa ni mwan ccm????