Kidumu chama cha mapinduzi!!!!!!!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Kutokana na amani tuliyo rithi kutoka kwa wa asisi wa Taifa hili idadi kubwa ya wawekezaji wamekuwa wakiingia nchini kuwekeza mitaji na hivyo kuifanya nchi kuwa katika nafasi nzuri ya kukuza uchumi wake.

Hizi picha chini ni Sehemu tu ya wawekezaji wakiwa sehemu zao za kazi.

Kidumu chama cha mapinduzi:A S-rap:........, zidumu fikra za mweketiti wa chama:A S-rap:.........

WACHINA[2]..jpg BAJAJ[2]..jpg
Chanzo: MTAA KWA MTAA
 
View attachment 21458View attachment 21459
Chanzo: MTAA KWA MTAA

Kama hawa ndio wawekezaji basi kidumu chama!!!
 
kiGUMU chama cha mafisadi watu kigumuuuu. leo mdahalo wa katiba umemtoa kamasi msekwa mpaka akapata kigugumizi cha ajabu. KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI THAT NEVER WAS!!!!!!
 
Kwani hizo ndo zile ambulance za kikwete?.......km ndivyo basi kweli kidumu chama cha mafisadi
 
Back
Top Bottom