Kidogo nidondoshe bia yangu

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
jamani duniani kuna watu wa ajabu sana,yaani huwezi kuamini leo kanisani nimekaa na mtu anavuta sigara ndani ya kanisa bila uwoga,nilitetemeka nusura niangushe bia yangu!!LOL!
 
na wewe kanisani na bia yako uliingiaje?au huna la kuandika?wenzako tumechanganyikiwa ccm kwa sasa haina msemaji mkuu kila mtu ni bosi, watoto wapo juu ya babazao,baba na watoto wachache wanagombea rasilimali zetu za watu 43milions
 
baba punguza munkari, hili jukwaa ni la Jokes/Utani/Udaku/Gossip and the like....

pata nyingine afu mwambie mhudumu awashe blututh, ntatuma khela!
 
Bongolala nenda kwenye jukwaa la siasa sio unaleta mambo ya CCM kwenye jokes
 
Hilo nalo ajabu. Mbona jamaa alileta kondom kanisani zipigwe mnada na nyingine ikawa kwenye kapu la sadaka!
 
ndivyo tulivyo

Kushangaa waumini wengine wakati tunayofanya ni ya ajabu zaidi.

thks, I am never tired of hearing this joke, ha ha haha!!
 
hahahaha...kijana mlikuwa baa sio kanisani..zile nyimbo za kanisani alizoweka nadhna zilikufanya ujisikie uko kanisan..hihihi

jamani duniani kuna watu wa ajabu sana,yaani huwezi kuamini leo kanisani nimekaa na mtu anavuta sigara ndani ya kanisa bila uwoga,nilitetemeka nusura niangushe bia yangu!!LOL!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom