Kidali Po, Kalale nacho.............

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
455
Wakuu mnakumbuka michezo yetu utotoni? Mimi kila mchezo nilikuwa either Baba, jogoo, Ng'ombe lile dume au Mbuzi dume, au chochote ilimradi iwe dume tu, then mama lazima awe yule mdada mzuri sasa sikilizia hapo MCHEZO unapokuwa mtamu, halafu mchezo utotoni kitu hakilali na ni kinguonguo....nakumbuka nilikuwa jogoo siku moja usiombe...wewe ulikuwa nani?
 
Any idiot can face a crisis - it's day to day living that wears you out. Ushakuwa mtu mzima plz.
 
Any idiot can face a crisis - it's day to day living that wears you out. Ushakuwa mtu mzima plz.

Umezaliwa Mjini **** wewe, Idioti ni wewe kuku wa Mjini asiejua kuwika hata siku moja, kama huna la kuongea funga shimo lako fisadi mkubwa wa mawazo wewe....we dare to talk openly...sikujui hunijui kaa kimya kama mfundwa wewe...
 
Any idiot can face a crisis - it's day to day living that wears you out. Ushakuwa mtu mzima plz.

kama hukucheza wewe basi baba ako alicheza na kama sio yeye ni babu yako, so na wao ni IDIOT? kawambie hivyo sasa uone kivumbi chake....kweli mtoto wa fisadi na yeye fisadi...
 
Any idiot can face a crisis - it's day to day living that wears you out. Ushakuwa mtu mzima plz.

wewe FISADI koma kama gari la nkoma lilivyokoma kwenda Nkoma, na unikome koma koma kama ukoma, lasivyo utalijua jiji kuwa makamba halikuwa lake bali sasa ni la Lukuvi, usicheze na moto wa petrol usiekuwa hata na started post moja wewe, kicheche wa kuchechea posts za wenziyo tu, huna lolote wewe, huna uwezo wa kuiita IDIOT hapa lasivyo UTAJUTA KUZALIWA...kama unataka shitaki kwa mods nimesema wewe F.A.L.A tena F.AL.A kwa herufi kubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom