Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Hivi vitu ni vya kwaida tu jamani. Mapenzi ni tamaa ya mwili tu ambayo ukiiendekeza waweza kujutia baadaye kama haupo makini.
Kuacha na kuachwa ni vitu vya kawaida tu katika jamii yoyote. Cha msingi ni kuwa mvumilivu mara matukio haya yanapotokea.
Tukishindwa kuwa wavumilivu, Je tutaweza kuishi na nani hapa duniani??
Swala la kupewa kibuti kwa upande mwingine ni gumu kulivumilia lakini na inahitaji moyo na upeo wa hali ya juu. Ubinadamu kazi sana ndugu.
Kwa wewe unayepewa kibuti, jiulize kwanini unapewa?? Jichunguze kwanza wewe mwenyewe na kisha kata mzizi huo uliosababisha wewe kupewa kibuti Kama kweli bado wampenda binti huyo.
Akikukataa jaribu kwingine usikate tamaa.
ni hayo tu kwa leo.
maneno mazuri ila vibuti vinachusha akili na mwili

Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa. Kibuti sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5, namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu waliwapenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbu, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki. Je wewe una uzoefu gani na vibuti?
Mkuu una roho ngumu unafukuzia miaka mitano ???

tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho
ila ni ujumbe mzuri

back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti
baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu
nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha
We ulibeep yeye akakupigia kabisa hahaha!

ha ha ha....mwenyewe ukajua umemkomesha....si ajabu ulikuwa unajaribu mwenzio akafanya kweli....
Alitingisha kiberiti kilichojaa lol!

wanaopiga vibut ni wachache sana now day,wengi nowdays ni ving'ang'abizi hata kama uko covered tena ukiwa na mshiko au ka mkoko ndio usiseme,full kujikita.

yaaani mkuu kabla sijachangia nianze kwa kusema hii topic imeugusa moyo wangu sana.

sasa mimi kidogo ninavyo vingi,ila nakumbuka wakati nipo advance kama form6 ivi,nilimiminwa a.k.a technical sup. Ishu ilikuaje unajua? kuna manzi nlikua namdate mtoto wakiarachuga alihamia pale skonga. daah mtoto alikua mkare balaa,mtu mzima nikatest zali mambo yakajipa. hatukuchukua wiki kadhaa jamaa flan ambae alikua classmate wake akaaanza kumchukua,nikimuuliza anasema n marafiki tu. but nikaona huu urafiki unavuka mipaka nikahisi kuna kitu kinaendelea kimejificha. sitasahu siku aliyokuja kuniuambia,'mzee wa loliondo kuliko uje kusikia kwa watu wengine,nakwambia mimi mwenyewe kwamba sikutaki tena na kwasasa natoka na xxxx kwaio endelea na maisha yako'. at dat time iliniuma mbaya af ilikua karibu na kipindi cha mitihani but nilipiga moyo konde nikamaliza pepa nikasepa na matokeo yakaja nimechanambaya nikasepa zangu mavyuo. kumbe alikua anasoma form5 huku anarisit so akakosa credits nakutambaa akaenda chuo kusoma certf af mbaya zaidi akaja chuo ninachosoma. kudadadeki, mambo ya dushelele,yule jamaa akampotezea af akakuta mkuu nimekaa sehemu nyingine a.k.a no vacancy. daaah,ebana ninavyo vingi ila ngoja nitoe fursa kwa wakuu wengine kutoa nao madukuduku yao

duu! Mi bado nampenda sana dada m1 aliyenipiga kibuti,actually sidhani kama ntaweza kumsahau! Nlim2mia "dedication ya wimbo wa think twice before live" naye akajibu kwa dedication ya "Its my time to live on my own" Ila namshukuru MUNGU amenipa mke anayefanana na mimi. Na yule dada till now,
hajapata m2, ni mzuri ila ana
complex personality. Sometimes huwa namshukuru MUNGU kwakuniepusha naye. Vibuti vinamaana yake frnds. Its just natural selection, DON'T GIVE UP.... Ukipigwa.

Yaani umeshapata mwingine ila bado unampenda sana? kwa hiyo huyu wa sasa bado unamdanganya? jitahidi umsamehe na na ukiweza kumsamehe utamtoa akilini mwako, bila ya hivyo hutaweza ku move on

duu! Mi bado nampenda sana dada m1 aliyenipiga kibuti,actually sidhani kama ntaweza kumsahau! Nlim2mia "dedication ya wimbo wa think twice before live" naye akajibu kwa dedication ya "Its my time to live on my own" Ila namshukuru MUNGU amenipa mke anayefanana na mimi. Na yule dada till now,
hajapata m2, ni mzuri ila ana
complex personality. Sometimes huwa namshukuru MUNGU kwakuniepusha naye. Vibuti vinamaana yake frnds. Its just natural selection, DON'T GIVE UP.... Ukipigwa.

me nakumbuka nilipigwa kibuti na demu wa kwanza kutongoza nikiwa form 1. alinifanya niogope vibuti sana mpaka leo hii kwa sababu ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kutongoza na kupigwa kibuti hapohapo. baada ya hapo nikawa nikitongoza demu na akinikubali na kuingia naye kwenye relationship nakuwa nae makini , nikimuona simuelewielewi kama anataka kupoteza direction namuwahi mimi kumpiga kibuti kabla hajanipiga yeye. Na yule demu wa kwanza nlikuja kumtongoza tena baada ya miaka saba na kunikubali , na ni mmoja wapo ya niliowawahi kuwapiga kibuti coz nilihofia asije nipiga kwa mara ya pili. so kwangu me kama demu anatikisa kiberiti inakula kwake.

tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho

ila ni ujumbe mzuri

back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti

baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu

nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu

hahhaha

sasa je we c unakumbuka tonya aliwah kuimba spare tyre lazma uwe na backup folder bana.

duu! Mi bado nampenda sana dada m1 aliyenipiga kibuti,actually sidhani kama ntaweza kumsahau! Nlim2mia "dedication ya wimbo wa think twice before live" naye akajibu kwa dedication ya "Its my time to live on my own" Ila namshukuru MUNGU amenipa mke anayefanana na mimi. Na yule dada till now,

hajapata m2, ni mzuri ila ana

complex personality. Sometimes huwa namshukuru MUNGU kwakuniepusha naye. Vibuti vinamaana yake frnds. Its just natural selection, DON'T GIVE UP.... Ukipigwa.

Hongera sana mkuu...
kwa hiyo kila kibaya kina uzuri ndani
Yake ama kitu kizuri kitajitokeza kutoka humo.

Congrats....

Back
Top Bottom