Kibuti ambacho hutakaa ukisahau!

Ya ni kweli vibuti vinauma ila hakuna jinsi lazima ukubali na kisha usahau, haya ndo maisha, ukisema huwezi kusahau unakua unashindana na nature, jiulize kuna wangapi na wewe umewapiga vibuti? ukipata jibu utakubaliana na hiyo hali coz ili mapenz yatokee lazima unayempenda awe na feelings kama za kwako sasa kama hana huwezi kulazimisha, sasa akisema kile anachojisikia ndo bahati mbaya tunaita kibuti but in real sense it must be taken as normal thing and it can happens to anybody.
 
Mapenzi bana ,mm nafikiri kabla ya kukubali kuanzisha uhusiano twende courting , misunderstanding ikitokea,utaratibu wa kupoozana uwepo,nakumbuka kibuti cha haja sikulala masaa 48! Moyo ulitwangika kiukweli,ila namshukuru Mungu, nimeyachukulia mapenzi kwa ukawaida'ni kudate watoto wengi tu! It will take time women to harvest my trust again, hata nliyenaye kwa sasa i just watch the drama,what i know Men Love yourself ukiwa mtumwa tu wa penzi inakula kwako! BTW not every relationship means to last forever!
 
ha ha ha....mwenyewe ukajua umemkomesha....si ajabu ulikuwa unajaribu mwenzio akafanya kweli....

ulijuaje wwe acha tu mie nikawa hio
bin taabani ila namshukuru mungu nikarecover tu kwani hata hivyo kuna
mabo yalishanichocha
 
<br />
<br />
hahahahahahaaa!! Najua ulitamani kumrudia ila ndo ikawa hivyo kwamba mlango ulikuwa umefungwa.

Mamito kwa shock na stroke nilijiweza mmh
wenzangu sikuwaambia ila ndo vile kula ooh sijisikii mara panadol kichwa
acha kabisa kama vile mie ndie niliyepigwa kibuti
ila all in all nilijipa moyo na kusema kuwa he wasnt mine .....
 
aaah umenikumbusha mbali, hapo lazima uangalie backorder cost, holding & ordering cost, mwisho wa siku inabidi uminimize Total cost.
asante sana tindikali
maana usipo angalia risks oolalalllaaa umekwisha .....nami nimecheka sana has hiyo holding cost inafaa uipe priority kuokoa jahazi baba
 
Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa. Kibuti sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5, namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu waliwapenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbu, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki. Je wewe una uzoefu gani na vibuti?
Nilikuwa na date wawili, kumbe huyu mmoja ambae nilikuwa nimemdondokea sana alistukia ishu akanipa mzigo. Baada ya ku duu kesho yake nikapigwa kibuti, sitakaa nisahau
 
Nshapigwa saa 3 baada ya kumake love,akanambia uhusiano hauna future,then nikapigwa siku 3 baada ya uhusiano mtoto akanambia simjali,nshapigwa tena na mtu akanambia tuvunje uhusiano,nkambia poa,akaguna kumbe alikua anatania,mi nikamaanisha maana nshazoea
 
Nilikuwa na date wawili, kumbe huyu mmoja ambae nilikuwa nimemdondokea sana alistukia ishu akanipa mzigo. Baada ya ku duu kesho yake nikapigwa kibuti, sitakaa nisahau
Hii inanikumbusha jamaa yangu mmoja, alimfatilia demu kama 3yrs, alikuja kukubaliwa then afta 3days akala kibuti, jamaa aliumia sana lakin alijipa moyo na maisha yakaendelea.
 
poleni sana kibuti changu mi cha kwanza nilipewa na mrembo Warda! my high xkul sweat heart mtoto alikuwa mzuri huyu... alinipiga kibuti baada ya kugundua naondoka kwenda masomoni nje ya nchi...

baada ya hapo sikuja kupenda tena mpaka miaka 2 iliyopita! nataka nihalalishe ndoa....

ila vibuti ni utoto... tu, ukioshaoa ama kuolewa utaacha!
 
Nshapigwa saa 3 baada ya kumake love,akanambia uhusiano hauna future,then nikapigwa siku 3 baada ya uhusiano mtoto akanambia simjali,nshapigwa tena na mtu akanambia tuvunje uhusiano,nkambia poa,akaguna kumbe alikua anatania,mi nikamaanisha maana nshazoea
kumbe kuna hufika na unakuwa mzoefu?
 
sna upendo na hawa watu.........unayempenda hakupendi,,,,, anayekupenda haumpendi!!!! THE LAW OF NEXT-BEST IS APPLIED WHEN U PLAN 4 MARRIAGE.........haaaaa haaaa
 
Niliwahi kuuliza humu jukwaani kuwa hivi kutongoza ni kosa?Sababu kuna kisa kilichotokea sehemu fulani kama miaka mitano iliyopita,jamaa alimtokea mtoto jibu la kwanza aliambiwa ,kamtongoze mama yako,jamaa hakukoma akaendelea ,siku moja baada ya kuwa binti ameshamdhalilisha vya kutosha na kijana hakomi basi akamsubiri na alipomuona tu akamsakizia mbwa na kumwitia mwizi,kilichofuata ilikuwa ni wananchi wenye hasira kuchukua sheria mikononi sasa sijui hiki kibuti mnakionaje wanajamvi?
 
Niliwahi kuuliza humu jukwaani kuwa hivi kutongoza ni kosa?Sababu kuna kisa kilichotokea sehemu fulani kama miaka mitano iliyopita,jamaa alimtokea mtoto jibu la kwanza aliambiwa ,kamtongoze mama yako,jamaa hakukoma akaendelea ,siku moja baada ya kuwa binti ameshamdhalilisha vya kutosha na kijana hakomi basi akamsubiri na alipomuona tu akamsakizia mbwa na kumwitia mwizi,kilichofuata ilikuwa ni wananchi wenye hasira kuchukua sheria mikononi sasa sijui hiki kibuti mnakionaje wanajamvi?
Haahahaha....nadhani hichi ndio funga kazi! Sema wengine hua wanatongoza mpaka inakua kero dada akaamua isiwe tabu ngoja niombe na msaada wa wananchi!
 
tutor b kwenye signature yako umekosea spelling hapo mwisho
ila ni ujumbe mzuri

back to the topic:mie sitosahau kuna BF wangu mmoja nilipmiga kibuti
baada ya 24hrs akawa na mwingine sikuamini , kumbe sikuwa peke yangu
nikajua kabisa kwamba ukiwa ktk mahusiano ni vyema kuwa na backorder kuepuka maumivu
hahhaha

Kwa hiyo kumbe ulikuwa bado unampenda, ila uliamua tu kutingisha kiberiti siyo? Kuna vitu vingine siyo vya ku-beep...Uki beep wenzio wanapiga!
 
Hivi vitu ni vya kwaida tu jamani. Mapenzi ni tamaa ya mwili tu ambayo ukiiendekeza waweza kujutia baadaye kama haupo makini.
Kuacha na kuachwa ni vitu vya kawaida tu katika jamii yoyote. Cha msingi ni kuwa mvumilivu mara matukio haya yanapotokea.
Tukishindwa kuwa wavumilivu, Je tutaweza kuishi na nani hapa duniani??
Swala la kupewa kibuti kwa upande mwingine ni gumu kulivumilia lakini na inahitaji moyo na upeo wa hali ya juu. Ubinadamu kazi sana ndugu.

Kwa wewe unayepewa kibuti, jiulize kwanini unapewa?? Jichunguze kwanza wewe mwenyewe na kisha kata mzizi huo uliosababisha wewe kupewa kibuti Kama kweli bado wampenda binti huyo.
Akikukataa jaribu kwingine usikate tamaa.

ni hayo tu kwa leo.
 
Back
Top Bottom