Hamas yasema hawana hao mateka 40 wanaotakiwa. Kosa la nani

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,317
11,181
Katika mazungumzo yanayoendelea nchini Misri ili vita visitishwe,Hamas imeweka wazi kuwa hawana mateka 40 kwa vigezo vya Israel inaotakiwa iwasalimishe.

Mateka hao wa mwanzo kati ya mia na kitu iliobaki nao, katika mazungumzo hayo ilitakiwa wawe ni akina mama na watoto,wazee na wagonjwa.

Zamani wakati mazungumzo ya awamu ya pili yakianza mapema mwaka huu,Hamas walishasema wanahitaji vita visitishwe ili waweze kuwatafuta na kuwakushanya mateka wanaohitajika kwani wamesambaa Gaza yote.

Badala ya kusikiliza nasaha hizo Netanyahu akaendelea kuamrisha jeshi lake lidondoshe mabomu mazito ili kuwatafuta mateka hao bila kujali kuwa mabomu hayo hayachagui katika kuua baina ya wapalestina na mateka wa kiyahudi.

Hamas tells negotiators it doesn’t have 40 Israeli hostages needed for first round of ceasefire

wameshawauwa, sasa israel sijui atafanya nini. inatia huruma sana.
 
Wamesambaaje wakati ni mateka wametembea wenyewe?
Watu wa Gaza wana ushirikiano wa kizalendo wa hali ya juu sana na kuheshima mamlaka ndio maana wanauliwa lakini hakuna malalamiko kwa Hamas.Wanajua sababu ni ukatili wa Israel.
Sasa hao mateka hata walioteka wanaweza kuwa ni familia iliyo na uchungu juu ya ukandamizaji wa Israel, inateka halafu wanatoa taarifa kwa Hamas kwamba na wao wana mateka.Hamas wanaweka kwenye kanzi data yao.Siku wakwataka baada ya vigezo kutimia wanawafuata na kuwaomba kwa wanaowashikilia.
Sasa katika hali kwamba mabomu yamepigwa bila kizuizi inawezekana hata Hamas wamepoteza mawasilaiano na watu waliokuwa wamewashililia na huenda wamekufa wao na mateka wao.
 
wameshawauwa, sasa israel sijui atafanya nini. inatia huruma sana.
Wakubali tu sera zao zimewarudi wenyewe.Hawakuweza kuwarudisha kama ilivyo ajenda namba moja ya vita.
Ndio maana wakuu wa kivita kwa siri na dhahiri wanakubali wameshindwa vita kimkakati.
 
Watu wa Gaza wana ushirikiano wa kizalendo wa hali ya juu sana na kuheshima mamlaka ndio maana wanauliwa lakini hakuna malalamiko kwa Hamas.Wanajua sababu ni ukatili wa Israel.
Sasa hao mateka hata walioteka wanaweza kuwa ni familia iliyo na uchungu juu ya ukandamizaji wa Israel, inateka halafu wanatoa taarifa kwa Hamas kwamba na wao wana mateka.Hamas wanaweka kwenye kanzi data yao.Siku wakwataka baada ya vigezo kutimia wanawafuata na kuwaomba kwa wanaowashikilia.
Sasa katika hali kwamba mabomu yamepigwa bila kizuizi inawezekana hata Hamas wamepoteza mawasilaiano na watu waliokuwa wamewashililia na huenda wamekufa wao na mateka wao.
Unamaanisha Hamas na mateka wa Mchongoma ni sakotubako?
 
waislam mna akili ndogo sana , mnasahau mapema sana , mateka hawa walipotea oct 7 , sijui kama wapalestina waliivamia gaza na kila mtu kuondoka na mateka wake hadi nyumban kwake bila kuwa under hamas arrangement

Uislam unapambana kuwapumbaza akili ili uwatumir kwenye ugaidina kujilipua
 
Hamas walidhiria kwa vile utekajij ni sera yao ya vita kwa uzoefu wao wa muda mrefu kupigana na mayahudi.
Kukubali mateka washikiliwe na familia na kugawana majukumu tu sio kukwepa majukumu.
 
Katika mazungumzo yanayoendelea nchini Misri ili vita visitishwe,Hamas imeweka wazi kuwa hawana mateka 40 kwa vigezo vya Israel inaotakiwa iwasalimishe.

Mateka hao wa mwanzo kati ya mia na kitu iliobaki nao, katika mazungumzo hayo ilitakiwa wawe ni akina mama na watoto,wazee na wagonjwa.

Zamani wakati mazungumzo ya awamu ya pili yakianza mapema mwaka huu,Hamas walishasema wanahitaji vita visitishwe ili waweze kuwatafuta na kuwakushanya mateka wanaohitajika kwani wamesambaa Gaza yote.

Badala ya kusikiliza nasaha hizo Netanyahu akaendelea kuamrisha jeshi lake lidondoshe mabomu mazito ili kuwatafuta mateka hao bila kujali kuwa mabomu hayo hayachagui katika kuua baina ya wapalestina na mateka wa kiyahudi.

Hamas tells negotiators it doesn’t have 40 Israeli hostages needed for first round of ceasefire

Jamani vita ni mbaya sana huwa haichagui.....Cha msingi huo mzozo uishe na maisha mengne yaendelee!!!
 
Mkuu kw
waislam mna akili ndogo sana , mnasahau mapema sana , mateka hawa walipotea oct 7 , sijui kama wapalestina waliivamia gaza na kila mtu kuondoka na mateka wake hadi nyumban kwake bila kuwa under hamas arrangement

Uislam unapambana kuwapumbaza akili ili uwatumir kwenye ugaidina kujilipua
Mheshimiwa hivi unamfahamu kwann Hamas walifanya huo uhalifu??
Naona mnajitahd sana kuufanya mzozo wa Gaza kuwa wa kidini.
Halafu tafuta remedial ya somo la general study litakusaidia sana!!
 
Watu wa Gaza wana ushirikiano wa kizalendo wa hali ya juu sana na kuheshima mamlaka ndio maana wanauliwa lakini hakuna malalamiko kwa Hamas.Wanajua sababu ni ukatili wa Israel.
Sasa hao mateka hata walioteka wanaweza kuwa ni familia iliyo na uchungu juu ya ukandamizaji wa Israel, inateka halafu wanatoa taarifa kwa Hamas kwamba na wao wana mateka.Hamas wanaweka kwenye kanzi data yao.Siku wakwataka baada ya vigezo kutimia wanawafuata na kuwaomba kwa wanaowashikilia.
Sasa katika hali kwamba mabomu yamepigwa bila kizuizi inawezekana hata Hamas wamepoteza mawasilaiano na watu waliokuwa wamewashililia na huenda wamekufa wao na mateka wao.
Acha urongo raia wa Gaza wanalalamika kila siku na wamekatishwa tamaa na Hamas kutotaka vita isimame.. aljazeera siku walibugi kumhoji mzee ambaye hawajampanga ilikuwa live akawaponda Hamas aljazeera wakakatisha kumhoji..

Ukiona mtu anahojiwa ni maigizo ya same people Hamas ndio maana yamejaa Kila hospital.. hata ingekuwa Tanzania kubomolewa nyumba yangu na adui alfu niichekee jwtz sababu za kutotaka kuachia mateka wa Adui.. kamwe ukishashindwa umeshindwa tu una Surrender kuokoa raia na sio ubishi wako wa kipuuzi
 
Back
Top Bottom