Kibongo bongo nani anaongoza kwa kuwa na tunzo nyingi

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,887
Wakuu mimi nataka kujua nani mtabe kwa gemu ya bongo flava anaeongoza kwa kuchukua tunzo nyingi mpaka sasa hivi including local and international awards.

Anayejua tafadhali anisaidie lakini kwa detail zaid cyo kutaja tu bila ushahidi.
 
Diamond afu anafuatia J dee..

Ila hii ya Mtv ema best African act aliyoshinda juzi, nadhani ukijumlisha inatakiwa iwe sawa na tuzo za pombe kama 30 hiviii
 
Wakuu mm nataka kujua nani mtabe kwa gemu ya bongo flava anaeongoza kwa kuchukua tunzo nyingi mpaka asa ivi including local and international awards.....anaejua tafadhali anisaidie lakini kwa detail zaid cyo kutaja tu bila ushahidi....
Unatuulizaje sisi wakati nyinyi munaojiita mashabiki wa kiba mumempa hadi "u-king" wa bongo fleva,vipi kwani kigezo cha tuzo nyingi za ndani na nje hana ???????????( na kama hana basi hana sifa ya "u- king ")
 
Diamond afu anafuatia J dee..

Ila hii ya Mtv ema best African act aliyoshinda juzi, nadhani ukijumlisha inatakiwa iwe sawa na tuzo za pombe kama 30 hiviii
umempunguzia idadi mkuu kabla ya afrima na nafca na mtvema alikuwa na tuzo 36 sasa jumlisha na izo
 
Wakuu mimi nataka kujua nani mtabe kwa gemu ya bongo flava anaeongoza kwa kuchukua tunzo nyingi mpaka sasa hivi including local and international awards.

Anayejua tafadhali anisaidie lakini kwa detail zaid cyo kutaja tu bila ushahidi.

Hilo n jibu dada mtangazaj uliza swali!!!.
 
Wakuu mimi nataka kujua nani mtabe kwa gemu ya bongo flava anaeongoza kwa kuchukua tunzo nyingi mpaka sasa hivi including local and international awards.

Anayejua tafadhali anisaidie lakini kwa detail zaid cyo kutaja tu bila ushahidi.
Like you real dunno?
 
Back
Top Bottom