Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Nimemsikiliza kibonde muda huu ie saa 11:14 jioni amegundua chanzo cha mgomo ni wabunge kutaka kujiongezea posho!

Nafikiri ameacha kufikiria kwa kutumia MASABURI!
Amekua kimya tangie hile story ya 2007 kuibuliwa
Nimemsikiliza kibonde muda huu ie saa 11:14 jioni amegundua chanzo cha mgomo ni wabunge kutaka kujiongezea posho!
Nafikiri ameacha kufikiria kwa kutumia MASABURI!
Nimemsikiliza kibonde muda huu ie saa 11:14 jioni amegundua chanzo cha mgomo ni wabunge kutaka kujiongezea posho!
Nafikiri ameacha kufikiria kwa kutumia MASABURI!
Kwa kigongo walichomchapa nacho katika mtandao hata ungekuwa chizi ingebidi upate akili kidogo!
Kibonde wale madaktari walimtolea uvivu kanywea, damn
mtu mweye akili timamu hawezi kutukana madk