Kibonde na zitto

Kibonge akili zake zinamtosha kuvuka reli tu, akienda mbele hata kuvuka barabara (high way) lazima tu atokote! Kuendelea kumjadili mtu wa aina hiyo ni kupoteza muda.
 
Culdnt agree more, why is he always critisizing CDM side and praising CCM side! cant be a coincidence the formula for him is the same all the time, always!
m
kuu wewe kinakukera nini yeye kuwa upande wa ccm?
Au unakereka pia tanzania daima kuwa upande wa cdm alwayz?
 
kwani jamaaa hajakufa kwenye ile ajali, daaaah anamaisha kweli.....! anaakili za kuvukia barabara .
 
wewe huwa bado unamaliza betri zako kumsikiliza kibonde? Wake up, DON'T!
Nakuhakikishia asilimia zaidi ya hamsi hapa dsm ikifika saa 10 jioni tunamsikiliza kiponde atasema nini,sio wewe wala mimi tu
ndio maana hata akikohoa katika kipindi tayari mnakuja mbio humu ndani kumuanzishia thread take
 
Anaitwa KI-BONDE...sasa tunamshangaa? Halafu yeey ni CCM wa kupika na kupakua, lazima ataponda hoja za upinzani...si anantetye chama??
Muacheni aendeleze madudu aliyonayo
 
Hivi kumbe ndio leo hii unapata kugundua kwamba huyu Mraa huwa ni kipaza sauti kwa ajili ya mtu yeyote mwenye fedha kukodi kufikishia ujumbe wake hata kama ni matapishi tu??????????

Pole sana kwa hilo!

Huyu Kibonde vp?Ni mzima kweli?Hapa anatumia nguvu nyiiingi kukosoa approach ya Zitto kwenye hili sakata la 'allowances".
Is he paid to attack off?
 
Poor myopic soul!!!

Nakuhakikishia asilimia zaidi ya hamsi hapa dsm ikifika saa 10 jioni tunamsikiliza kiponde atasema nini,sio wewe wala mimi tu
ndio maana hata akikohoa katika kipindi tayari mnakuja mbio humu ndani kumuanzishia thread take
 
Am sorry to say this but KIBONDE kama jina lake lilivyo kibonde ni kibonde wa ukweli means he is poor in his head and shortly i can say that he is just another fu@#&k a#s hole in this country who think for himself and not for many poor people.
 
ndio tatizo la chadema wengi.
kila anaepinga wana mu attack....
tena mtu kama kibonde ambae anajulikana wazi ni ccm
sasa wa nini kutumia nguvu nyingi kum attack?????????

common sense is not common kwa kweli..

common sense is always common as far as u call it 'common sense'. Kibonde is manute to stand in Zitto's brain. I shall never ever compare kibonde a form four failed calibre man to Zitto,a PhD Scholar!
 
wote tungekuwa na mtazamo wa aina moja..................mmmmmmh! hadi ubongo ume'stuck' kufikiria ingekuwaje?
Kumbuka kibonde naye yupo kazini kama alivyo Zito
 
Labda msimamo wa radio cloud ni kuunga mkono posho ziendelee. Vinginevyo akiwa kama mtangazaji wa radio huru ambayo wasikilizaji wake ni wanachama wa vyama vyote vya siasa hapaswi kupendelea upande wowote zaidi ya kutoa maoni ya pande zote
 
Jamani huyu Kibonde si ni mwehu,kachanganyikiwa na ARV's anazokunywa,sasa siunajua watu wenye kale kaugonjwa wanakuwa wamekata tamaa ndio mana muda mwingine wana behave kama machizi vile.B'se they have nothing to loose.
 
ndio tatizo la chadema wengi.
kila anaepinga wana mu attack....
tena mtu kama kibonde ambae anajulikana wazi ni ccm
sasa wa nini kutumia nguvu nyingi kum attack?????????

common sense is not common kwa kweli..

Maskini Zitto!
Anatetea matumizi mabaya ya fedha za serikali lakini shukrani yake ni kuambiwa ooh eti mara anajuitafutia umaarufu etc etc.
Mimi naona sasa angejikalia kimya. Serikali iendelee kuzitafuna hela kadri itakavyo. Mafisadi waendelee kuikomba hii nchi hadi ifilisike na kuwa a failed state! Wabunge wajiongezee salary na wajilipe TSHS 50 Million a month. Sitting allowances ziongezwe toka 70K to 500K. Per diem yao iwe 500K. Speaker Makinda aongezwe mshahara kuwa 100 Million a month!!
Nchi iendelee kutafunwa na kutafunika weeeeeeeeeeeeee hadi icollapse kabisaaaaaaaaaa chaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Bankrupt!! Labda baada ya hapo ndio wabongo na akina Nape et al tutatia akili sasa na ule mgando wa akili yetu utayeyuka na kuacha ushabiki wa vyama na kuweka maslahi ya nchi mbele ya maslahi ya chama.
 
Nakuhakikishia asilimia zaidi ya hamsi hapa dsm ikifika saa 10 jioni tunamsikiliza kiponde atasema nini,sio wewe wala mimi tu
ndio maana hata akikohoa katika kipindi tayari mnakuja mbio humu ndani kumuanzishia thread take
Nafikiri hujui maana ya asilimia hamsini labda unapomsikiliza wewe na mke wako kwako hiyo ndio 50%, lakini labda nisikupinge hata Matonya inawezekana anajulikana kwao zaidi ya rais Kikwete.
 
Back
Top Bottom