Kibonde ataka Bia iruhusiwe maofisi ya Serikali

Mnamwonea huyu jamaa, huyu Kibonde ni Ze Komedy wa Jioni kila siku, hivyo ukimjadili na kumjali na wewe tayari umejiunga na comedian.
 
Hivi great thinkers hamuoni kama mnazidi kumpa ujiko tu huyu mtu. Halafu nayeye anacheza na akili zenu hamjui tu kesho atakuja na lingine ili kuwachanganya zaidi.
 
yaani nilivyokuwa simpendi Kibonde kwa mada zake dhaifu,nikimkuta anangatwa na nyoka na muuwa kibonde na mwacha nyoka haendezake,mana nyoka anaumuhimu kushinda kibonde
 
mpumbavu kabisa,utajisikiaje unaenda theatra kufanyiwa operation na dr amepata kileo au unasomewa hukumu na hakimu aliye kwenye kileo,huyu jamaa anatumia nini kufikiria?he must be stupid!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
mkuu jaribu kufikiri tofauti
hapa kuna point hapa.
Walatini husema en vino vertas''
ikiwa na tafsiri kwenye pombe kuna ukweli.
madaktari bingwa wengi hufanya
upasuaji vizuri wakiwa kwenye stimu.
Kwa hakimu hata ona noma kukupiga miaka
kwa maana kama wataka kumpa za kunywea tayari keshakunywa.
Na anauhakika wa kunywa daily.
 
mkuu jaribu kufikiri tofauti
hapa kuna point hapa.
Walatini husema en vino vertas''
ikiwa na tafsiri kwenye pombe kuna ukweli.
madaktari bingwa wengi hufanya
upasuaji vizuri wakiwa kwenye stimu.
Kwa hakimu hata ona noma kukupiga miaka
kwa maana kama wataka kumpa za kunywea tayari keshakunywa.
Na anauhakika wa kunywa daily.

Hiyo ya madaktari ni kasumba mkuu! Si rahisi kama unavyofikiri! Ni kweli baadhi ya madaktari hunywa(pengine frustration zao, tabia n.k) lakini si upasuaji. Upasuaji ni zaidi ya daktari na ikiwa hayuko katika "right mind" hata upasuaji huahirishwa!
 
mpumbavu kabisa,utajisikiaje unaenda theatra kufanyiwa operation na Dr amepata kileo au unasomewa hukumu na hakimu aliye kwenye kileo,huyu jamaa anatumia nini kufikiria?he must be stupid!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kibonde has been always the best stupid man
 
KIBONDE ndioonani?????:panda:

Kiswahili sanifu kwa mujibu wa TUKI, Kibonde ni mtu mnyonge ambae watu wanamuonea sana, km ni mtoto basi wenzake wanaweza wakawa wansjifunzia kupiga kwake...ni jitu fulani jinga jinga hivi...halijielewi:D
 
Back
Top Bottom