Kiboko ya Wanyama Wote

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Kuna mwendawazimu mmoja alipita uchi mbugani,
basi wanyama wote wakaanza kwenda mbio.
Mbogo akamuuliza simba "hata wewe bwana wa misitu unakimbia?
Simba "ebo, we umeona wapi mnyama akawa ana mkia mbele?"
 
Kuna jamaa alimuonea
huruma mwanamke kwa
kusimama ktk foleni ya
mikate kila siku.
Akamwambia nikuoe utapumzika.
Mwanamke akamuuliza kwani wewe hujaoa??
Jamaa akamjibu, akamwambia
nimeoa na nina wake watatu.
Mwanamke akamuambia
bora hiyo foleni ya mikate
kuliko foleni ya ub**!!
 
Mwanaume mmoja siku yake
ya kwanza ya ndoa yake
alimuuliza mkewe: "una hakika mm ndiye mwanaume
wa mwanzo ninayelala nawe?"
Mke akajibu: "Haswaa mpenzi! Wanaume wengine
wote tulikuwa hatulali, ni
shughuli mpaka asubuhi!"
 
Hii kiboko.....
 
Duh!! Hii mwisho.
 
Mwanamke: Wewe ndio mwanaume wangu wa kwanza maishani, ndio nitakwita Adam.

Mwanaume: Mimi nitakwita Peugeot 504
 
Mwanaume mmoja siku yake
ya kwanza ya ndoa yake
alimuuliza mkewe: "una hakika mm ndiye mwanaume
wa mwanzo ninayelala nawe?"
Mke akajibu: "Haswaa mpenzi! Wanaume wengine
wote tulikuwa hatulali, ni
shughuli mpaka asubuhi!"

Ok,,, sawa wamekusikia
 
Mh! Ona na hii ya wavuta bangi.
Kibiriti kiliwaishia huku wakiwa wanataka kupiga mzunguko wa pili.
Mmoja akamwambia mwenzake: Oyaa, nenda kaazime kibiriti kwa jirani.
Kaenda lkn kwa kutokujua, kazunguka nyumba moja na kurudia ktk nyumba ile ile na kuhodisha.
"Mwanangu eeh, nimekuja kuazima kibiriti. Mwenzake akamjibu "Unajua vipi, katoka mshkaji kaenda kuazima kwa hapo nyumba ya pili. Kama vipi, tumsubirie atarudi sasa ivi.
 
kumbe hata mi nina tabasamu bomba, sema wa kunichekesha ndio alikuwa hajapatikana
 
Mh! Ona na hii ya wavuta bangi.
Kibiriti kiliwaishia huku wakiwa wanataka kupiga mzunguko wa pili.
Mmoja akamwambia mwenzake: Oyaa, nenda kaazime kibiriti kwa jirani.
Kaenda lkn kwa kutokujua, kazunguka nyumba moja na kurudia ktk nyumba ile ile na kuhodisha.
"Mwanangu eeh, nimekuja kuazima kibiriti. Mwenzake akamjibu "Unajua vipi, katoka mshkaji kaenda kuazima kwa hapo nyumba ya pili. Kama vipi, tumsubirie atarudi sasa ivi.
mh! Bangi!
 
Baharia Utofauti wake wa
mwendo ulimfanya
baba ake amuulize...
baba: Mbona
unatembea ivo kama
unayumbayumba baharia: Unajua baba,
nimefanya kazi muda
mrefu ktk meli na kule
kuna mawimbi, kwaiyo
kule siwezi kutembea
sawa sawa, kwaiyo ndiyo nimeshazoea
kutembea kama nipo
kule
baba: Mbona mimi
mama ako ninalala
naye mwaka wa 35 na nikitembea sikati
viuno??
 
Source: Nyepesi nyepesi Radio One.
Mwanamke mmoja afikishwa mahakamani baada ya kumpiga mumewe kichwani na kumuumiza sana. Jaji akamuuliza: kwanini umempiga mumeo kiti bila ya huruma? Akajibu: nimempiga kiti kwasababu meza ilikuwa nzito sikuweza kuinyanyua.
 
Back
Top Bottom