Kibogoyo atapeta siku ya hukumu

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Padre alikuwa anahubiri :
'Biblia inasema kuwa wale wasiotubu na wanaendelea kutenda madhambi watalia na kusaga meno siku ya hukumu'.
Hapo ndipo Kibogoyo mmoja alipocheka na kumnong'oneza mwenzie akisema: 'Hakika sisi tumebarikiwa kwani adhabu ya kusaga meno kwetu hamna.., lol
 
Back
Top Bottom