Haya majitu ya ufipa wamaudhi sana aisee.HIZO risasi walizokuwa wakiwarushia askari zilikuwa ni hisia JAMBAZI wewe?
Hapo tu, naona kuna watu walibanwa korodani na kutema siri zote kabla ya kumalizwa...Safi kabisa, wauaji kabisa wale hakuna huruma kabisa.......Polisi walifanikiwa kuwajeruhi wahalifu wanne kwa risasi ambao baadaye walifariki dunia wakiwa wanapelekwa hospitali.....Chanzo: ITV
Kuna video ya hao jamaa wakirusha risasi? Mbona unaamini tu moja kwa moja bila kufikitisha ubongo?
Wana uhakika? Isije ikiwa ni raia wema. Vinginevyo Good work
Hapo tu, naona kuna watu walibanwa korodani na kutema siri zote kabla ya kumalizwa...Safi kabisa, wauaji kabisa wale hakuna huruma kabisa..
wew ni mjinga, watu wana silaha,wanawashambulia polisi alafu unauliza wana uhakika, mitanzania mijinga mijinga hii heri ungezaliwa burundi au africa ya kati hukoWana uhakika? Isije ikiwa ni raia wema. Vinginevyo Good work
Wamesema inasadikika au kudhaniwa kwa sab hawana uhakika kwa sab hawezi kusema wamefariki lkn cha msingi ni wahalifu.Umesoma bandiko langu nililomjibu ''Kolijojo''
Nimeeleza wazi kuwa katika mapambano ya kutafuta majambazi ya Pwani, hakuna namna Polisi wanaweza kufanya kila kitu kwa usahihi. Ni hali ngumu sana na ya hatari. Kuua ni sehemu ya mapambano
Hoja yangu ni kauli ya ''kusadiki'' kuwa 'wahalifu hao wana uhusiano na mauaji ya Pwani' bila kuwa na link
Hao wanaweza kuwa majambazi yanayaofanya ujambazi na siyo mauaji ya Pwani au yanaweza kuwa ndio majambazi yanayoua watu Pwani.
Forensic examination ya ushahidi wa silaha zilizopatikana na matukio ya nyuma ungeweza kutueleza vema. Je kwa muda mfupi wa masaa forensic imefanyika?
Kusema 'inasaidikiwa' bila kuwa na link yenye ushahidi kunaweza kutotupa picha halisi ya tatizo
Kama wamerusha risasi ni wahalifu hakuna tatizo.
Tatizo ni ''kusadikiwa' wanahusika na mauji ya Pwani'' bila kuwa na ushahidi wa ku link mauaji na wahalifu hao. Inaweza kuwa inaweza isiwe. Kinahoweza kutueleza ni utaalam
Hivyo ni mapema mno kusadiki tu bila kuwa na ''forensic exam''
Vikindu walisema waliwaua halafu yule msemaji wa wauwaji akawajibu hakuna waliyemuua..
hii vita ikipiganwa kwa maneno matokeo yataonekana mtaani..
vikindu tuliambiwa waliwauawa wote kasoro mmoja aliyetoroka.