Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Dah! hii inasikitisha imagine kama ni katoto kako ama ni mdogo wako..... mi nadhani hapa na serikali haiko makini na sheria zake maana hawa waliokafuata wangeshitakiwa kwa kubaka.... huu ni ubakaji kabisa.