Kibinti kina miaka 16 ya kuzaliwa, experience ya miaka 40: HAKISHIKIKI!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni majuzi tu kafumaniwa akila uroda na dingi kitambi mme wa mtu akapelekwa polisi kuonywa, sasa jana katoa kali ya mwaka kwa kugonganisha polisi na askari jeshi na kusababisha ugomvi mkubwa. Je huko mnapoishi watu wa aina hii wapo? Kwa kweli mtoto kakubuhu!
 
anachukua waume za watu au wenyewn wanamfuata?
 
vipo vingi tu vitoto vya hivyo...... at that age kinakuwa ndo kimenogewa na mchezo wenyewe then hakijielewi. so kwa siku moja kinaweza kupigwa hata na watu watatu tofauti.
 
Bandugu pole sana lazima YESU ALIKUJA KUOKOA WENYE DHAMBI KAMA HAO NAA SIO WALIIOOKOLEWA
USHAURI WANGU HUKU ATOPATA MSAADA ILA BINAFSI NASHAURI MCHUKUE MPELEKE .....,KWA WATUMISHI WA MUNGU AMA WACHUNGAJI WATAMSAIDIA ZAIDI
BE BLESSED ILA MSIDHARAU AU KUMWACHA..SIO YYEEYE HILO NIPEPO LA NGONO NA SIO YEYE WAPO WATUWAZIMA WA KIKE NA NDOA ZAO WANAWATOTO WADOGO KAMA HAWANA AKILI..SO NI MUDA MZURI WATAFUTE WATU WA KANISA WAMSADIE ....POLEN TENA
 
Bandugu, hapa mtaani kwetu kuna kabinti kanatia fora kwa kuchukua waume za watu pamoja na kutoa uroda dezo dezo. Ni kadogo sana, umri wake n miaka 16 tu bt matendo yake utadhani mtu mzima. Ni majuzi tu kafumaniwa akila uroda na dingi kitambi mme wa mtu akapelekwa polisi kuonywa, sasa jana katoa kali ya mwaka kwa kugonganisha polisi na askari jeshi na kusababisha ugomvi mkubwa. Je huko mnapoishi watu wa aina hii wapo? Kwa kweli mtoto kakubuhu!

Mambo mengine unashindwa hata la kuongea.....
 
teenagers.. ila wanaume na sisi kuna wengine sijui tukoje bana 16yrs!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Iza
aaaahhh!!! ama kweli wazazi wake waliomzaa wamekula hasara!!!
 
wanaume sis ni kama tumelaamiwa, 16 yrs ni mtoto mdogo sana, hata km anajipeleka tufikilie jaman! Sasa binti hakamatiki kitaani!
 
16 years???? o god??? please help us,,,, where are we going to??

Nina kabinti Mpenzi... kadogo but karembo.... Roho hapa inaniumaaaaaaaaa...... Sijui hao wanaume kwanini hawaoni haibu kuvulia nguo watoto wadogo...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah....mkanyeni basi kama hata wazazi wake wameshindwa!!Katakuja kuharibiwa uso bado kadogo....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Dah....mkanyeni basi kama hata wazazi wake wameshindwa!!Katakuja kuharibiwa uso bado kadogo....

Lizzy kwa maelezo hapo juu... huyu mtoto kaonja asali.. Na huo mchezo ukianzia utotoni ukajua tamu yake.... Kuacha kaazi ipo.... mpaka u-mature na uone kua kumbe si kila kitu...
 
Lizzy kwa maelezo hapo juu... huyu mtoto kaonja asali.. Na huo mchezo ukianzia utotoni ukajua tamu yake.... Kuacha kaazi ipo.... mpaka u-mature na uone kua kumbe si kila kitu...
Atleast wamuondoa kwenye kutembea na waume za watu....ila hiyo mibaba nayo hovyo kweli!Kama wanaifahamu waifikishe mahakamani!!
 
Atleast wamuondoa kwenye kutembea na waume za watu....ila hiyo mibaba nayo hovyo kweli!Kama wanaifahamu waifikishe mahakamani!!

Nakubaliana nawe kabisa, kama huyo alofumaniwa nae sijui kwanini hayupo lupango..... Na wakimharibu sura ana bahati kwa mchezo huo unafikiri ata last na gonjwa hili la UKIMWI???
 
Kinachouzi zaidi ni ule mchezo wa kumaliza mambo eti kinyumbani, mahakama inatakiwa ishike mkondo wake, hv ma'state attorney wanakazi gani?
 
Tatizo ni hao watongozaji
wanaume hawana haya
mwaka jana nilishuhudia mtoto wa miaka 9
akijifungua unamwangalia unapata huruma
hajui hata pakuanzia inabidi mzazi uchukue jukumu
la kuwa mama. wanaume wanatakiwa kufikiri mbele
zaidi pale wanapoingiliwa na tamaa zao. tatizo linakuja
wanapokuwa na tamaa uwezo wa kufikiri hawana.
nafikiri na sheria yenyewe imekaa vibaya inaruhusu kuolewa
ukiwa na umri wa 15yrs
 
inawezekana alikuwa anafundishwa tangu mtoto kwa kubakwa kidogokidogo mpaka amekuwa umri huo, looooo
 
Back
Top Bottom